UKAWA nusura wazichape, kikao chavurugika. Ni kuhusu posho za Bunge

Pagan mwogope mungu Ukawa waliacha mamilioni ya posho za Bunge la katiba CCM njaa Kali MTU anakaa bungeni kwenye kiti toka SAA 2 asubuhi mpaka mwisho wa bunge kisa anavizia posho ahaaaaa
 
Ndo ukweli mtupu, lazima ukawa wapigane sasa! Tutaona rangi zao za ukweli.
Njaa haina baunsa, italipwa kutokana na jasho lako, hamna bure bure hapa!
Safi sana Dr. Tulia.
Nyie endekezeni njaa tu mtakuja kuuza hadi familia zenu. Akili za msimu hizi baaadae mnaanza kulia kama watoto wadogo
 
Katika kikao chao cha jana walikuwa na agenda mbili. Moja, ni kuhusu hali ya siasa nchini baada ya jeshi la polisi kuzuia mikutano yao kufanyika kanda ya ziwa. Na pili, ni kuhusu agenda ya Naibu Spika kuweka msimamo rasmi kwa wabunge wanaotoka nje kutopokea posho tena kuanzia sasa..

Hii agenda ya pili ilipasua kikao, na mpaka ilifikia hatua ya ngumi kurushwa. Hali hii ilitokea baada ya wabunge wengi kutaka hatua ya kurudi bungeni na kulaumu uongozi kuwa ulikurupuka kuchukua maamuzi na kwa upande mwingine uongozi wa chama hicho wakitetea msimamo wao na kuapa kutokurudi bungeni kama Dr. Tulia atakuwa kwenye kiti.

Mpaka dakika za mwisho, baadhi ya wabunge walizira na kutoka nje ya kikao. Huku wakiapa kuwa kuanzia kesho wataanza kuingia na liwalo liwe hata kama ni kufukuzwa chama... "Hatuwezi kuvumilia hali hii, tuna majukumu majimboni, tuna familia, tuna watoto shule sasa kama wanataka tusichukue posho ni ukomo wa akili uliokithiri. Hatuwezi kamwe, na kuanzia kesho tunarudi mjengoni"... Moja wao amenukuliwa..

Mytake: Njaa haina baunsa!
Inaonyesha jinsi waliyokutuma walivyofilisika hoja. Pia inaonyesha jinsi njaa yako inavyokupa tabu, uko tayari kubebesha hata takataka.
 
Hivi bado mnaamini hii ndio njia ya kumuwajibisha Dr Tulia? Mnawasusia nyani mahindi? Mnawadekeza sana wapinzani!
 
Hapa ndo unajua wengi wameenda kuchukuwa posho na si kutetea wananchi. Maana muda wote wanaenda kusaini ili kufuata posho.

Huu uhuni na wataumana wenyewe tu.
Hizi akili za kushikiwa zitaathiri sana kizaz hiki cha Tanzania, unakaa na wewe unabeba ujinga na kutoa mishipa ukiamini?
 
Hata kama hawakutaka kuzichapa lakini kwenye hili la posho kimwili wapo pamoja ila kiroho hawapopamoja.
Hapa wenye access na ruz.uk pamoja na wafanyabiashara wanaburuza wenzao
 
Mhhhhh. Yaani Lumumba bhana,. Kama waliweza kususia m30 bunge la katiba itakuwa vilaki vya vikao vya bunge? Tena kwa vikao vinavyo ongozwa na mteule wa serekali bi Tulia tu? Kajipange uje tena.
Una uhakika hawakuzisaini kama wanavyofanya sasa hv? Tulia kachaguliwa na serikali? Au wabunge wenzake?
 
Source ya hii habari. Na hicho kikao kilifanyika wapi na waliohudhuria ni akina nani??
 
Katika kikao chao cha jana walikuwa na agenda mbili. Moja, ni kuhusu hali ya siasa nchini baada ya jeshi la polisi kuzuia mikutano yao kufanyika kanda ya ziwa. Na pili, ni kuhusu agenda ya Naibu Spika kuweka msimamo rasmi kwa wabunge wanaotoka nje kutopokea posho tena kuanzia sasa..

Hii agenda ya pili ilipasua kikao, na mpaka ilifikia hatua ya ngumi kurushwa. Hali hii ilitokea baada ya wabunge wengi kutaka hatua ya kurudi bungeni na kulaumu uongozi kuwa ulikurupuka kuchukua maamuzi na kwa upande mwingine uongozi wa chama hicho wakitetea msimamo wao na kuapa kutokurudi bungeni kama Dr. Tulia atakuwa kwenye kiti.

Mpaka dakika za mwisho, baadhi ya wabunge walizira na kutoka nje ya kikao. Huku wakiapa kuwa kuanzia kesho wataanza kuingia na liwalo liwe hata kama ni kufukuzwa chama... "Hatuwezi kuvumilia hali hii, tuna majukumu majimboni, tuna familia, tuna watoto shule sasa kama wanataka tusichukue posho ni ukomo wa akili uliokithiri. Hatuwezi kamwe, na kuanzia kesho tunarudi mjengoni"... Moja wao amenukuliwa..

Mytake: Njaa haina baunsa!
Adui muombee njaa
 
..... kikao kilifanyikia lumumba na m/kiti alikuwa agnes na katibu ni mtoto wa kombani......... aahaaaa
 
Umechanganyikiwa? Goti linapigwa kwa Bwana Yesu tu, Magufuli kwako ni wa kuabudiwa? Msahafu unasema "ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba" [Filipi 2:10-11].
Umesahau kuwa kwao Hugo ndio Mungu? Ndio maana akikosolewa inaonekana kama kufuru.
Nimeamini kabisa wafuasi wa ccm wamefungwa kwa nguvu za Giza, kuwaweka sawa yanahitajika maombi ya nguvu haswa
 
Inaonyesha jinsi waliyokutuma walivyofilisika hoja. Pia inaonyesha jinsi njaa yako inavyokupa tabu, uko tayari kubebesha hata takataka.

Mkuu huyu Ni muhuni mmoja alikuwa chadema baada ya kuona amekosa walau nafasi kwenye chama naona akaamuwa kurudi lumumba,sahiv,anausaka udc kwa kuandika habari za uwongo
 
Back
Top Bottom