Ukawa ni wanafiki wakubwa...

Ukawa ni wanafiki wakubwa...

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,484
Nasema hivyo tena kwa sauti kubwa... Kipindi lowassa akiwa ccm walimwita majina yote machafu na kumdhalilisha kwa kila namna... Leo amehamia cdm wanamwona kama mwokozi!!! Shame on you all... Binafsi mimi ninamkubali sana lowassa tangu mkiwa mnamwita fisadi na ndo maana bado niko nae.. Hata kama angesimama kama mgombea binafsi bado ningesimama nyuma ya lowassa kwani nauamini sana utendaji kazi wake na hakuna aliewahi kuuthibitisha ufisadi wake zaidi ya porojo tu..
 
Kumwita hayo majina ndio siasa hasa za upinzani! Kila chama cha upinzani hufanya hivyo!!
 
Nasema hivyo tena kwa sauti kubwa... Kipindi lowassa akiwa ccm walimwita majina yote machafu na kumdhalilisha kwa kila namna... Leo amehamia cdm wanamwona kama mwokozi!!! Shame on you all... Binafsi mimi ninamkubali sana lowassa tangu mkiwa mnamwita fisadi na ndo maana bado niko nae.. Hata kama angesimama kama mgombea binafsi bado ningesimama nyuma ya lowassa kwani nauamini sana utendaji kazi wake na hakuna aliewahi kuuthibitisha ufisadi wake zaidi ya porojo tu..

Utanyookaaa tuuu...
 
walikuwa hawajui story yenyewe ilivyo, alipoingia wamejadili wiki mbili nzima naye, akawaeleza ukweli wote ya deal ilivyokuwa, wakagundua kuwa kumbe alikuwa anabeba zigo ambalo si lake na aliamua kunyamaza ili kusitiri watu waliokuja kumkata na kuajiri vijana kwaajili ya kumchafua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom