UKAWA ni adui wa demokrasia Tanzania

UKAWA ni adui wa demokrasia Tanzania

mtz daima

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,561
Reaction score
579
Ukweli ni mchungu lakini lazima tuuseme tu maana hakuna namna nyingine. Demokrasia ya kweli ni ile inayotoa uhuru wa raia kuchagua au kuchaguliwa, ambapo wagombea hupatikana kwa maamuzi ya wengi na siyo wachache.

Uamuzi wa kuanzishwa kwa umoja wa katiba ya wananchi umefikiwa na viongozi wachache hasa makao makuu ya vyama shirikishi pasipo consultation ya members wa vyama husika, pasipo voting ya whether to agree or not.

Uamuzi wa mgombea gani wa ubunge kutoka chama gani agombee jimbo husika umefanywa na ukawa makao

Ni Tanzania tu ambapo utaona vyama vya upinzania ndo adui namba moja katika ukuaji wa demokrasia. Vyama vya upinzani vinakuwa suppressive kuliko chama tawala. Vyama vya upinzani vinadidimiza uhuru wa kutoa habari (freedom of speech) ukitoa mawazo yanayokinzana na viongozi unabebeshwa tuhuma kibao mara kanunuliwa na ccm mara msaliti.

This is shame and not acceptable we must rise our voices to stop it. Najua watakuja watu na misemo ya mbona ccm inafanya hivi mbona ccm inafanya vile. Guys huwezi kuhalalisha maovu kwa kurejea uovu unaofanywa na mtu mwingine.
 
Mwaka huu mtabadilisha ID mpaka ziishe, mtapost uvundo mpaka basi, ila mfahamu jambo moja tu, Tunataka MABADILIKO tayari tumeshaamua kuichagua UKAWA na rais wetu mtarajiwa ni Edward Lowassa.
 
Hv wewe umekosa kazi ya kufanya! Kanywe pombe ulewe ulale na kujikojolea kitandani, ndo kazi naweza kukupa tu
 
KUna watu wengine sijui aliewaloga ni nani, wao kila jema linalosemwa wao kazi yao ni kupinga, ila sishangai maana labda mnalipwa kutetea upuuzi, mtu anaandika kitu cha maana na chakututoa hapa tulio, annatufungua macho, Mwanaume mzima unaaza tu kwa kusema kua kanunuliwa. Inamaana mwaka huu tusisimamie ukweli tu ili msituseme kua tumenunuliwa? UKAWA mmebaka demokrasia tena ikiwa bado changa iliyohitaji matunzo ili ikue. Mgombea mmempata kimagumashi tu, kampeni zinaenda kimagumashi, yani hamna uhuru wa habari, mwenyeikti wa chama ndio final say ukibishana nae wewe ni msaliti. Kweli tutafika? jichunguzeni
 
Ukitaka kulithibitisha hilo waangalie NCCR sasa wanapumulia mashine, NLD washakufa tayari, CUF bara wanatafutwa hawaonekani, by the way adui to be spefic ni CDM!
Tutamchagua Magufuli.
 
Ukweli ni mchungu lakini lazima tuuseme tu maana hakuna namna nyingine. Demokrasia ya kweli ni ile inayotoa uhuru wa raia kuchagua au kuchaguliwa, ambapo wagombea hupatikana kwa maamuzi ya wengi na siyo wachache.

Uamuzi wa kuanzishwa kwa umoja wa katiba ya wananchi umefikiwa na viongozi wachache hasa makao makuu ya vyama shirikishi pasipo consultation ya members wa vyama husika, pasipo voting ya whether to agree or not.

Uamuzi wa mgombea gani wa ubunge kutoka chama gani agombee jimbo husika umefanywa na ukawa makao

Ni Tanzania tu ambapo utaona vyama vya upinzania ndo adui namba moja katika ukuaji wa demokrasia. Vyama vya upinzani vinakuwa suppressive kuliko chama tawala. Vyama vya upinzani vinadidimiza uhuru wa kutoa habari (freedom of speech) ukitoa mawazo yanayokinzana na viongozi unabebeshwa tuhuma kibao mara kanunuliwa na ccm mara msaliti.

This is shame and not acceptable we must rise our voices to stop it. Najua watakuja watu na misemo ya mbona ccm inafanya hivi mbona ccm inafanya vile. Guys huwezi kuhalalisha maovu kwa kurejea uovu unaofanywa na mtu mwingine.

Hongera kwa kuanisha mada.
 
well said, ndio ukweli
 
KUna watu wengine sijui aliewaloga ni nani, wao kila jema linalosemwa wao kazi yao ni kupinga, ila sishangai maana labda mnalipwa kutetea upuuzi, mtu anaandika kitu cha maana na chakututoa hapa tulio, annatufungua macho, Mwanaume mzima unaaza tu kwa kusema kua kanunuliwa. Inamaana mwaka huu tusisimamie ukweli tu ili msituseme kua tumenunuliwa? UKAWA mmebaka demokrasia tena ikiwa bado changa iliyohitaji matunzo ili ikue. Mgombea mmempata kimagumashi tu, kampeni zinaenda kimagumashi, yani hamna uhuru wa habari, mwenyeikti wa chama ndio final say ukibishana nae wewe ni msaliti. Kweli tutafika? jichunguzeni
Mkuu waache na ukawa yao, chagua act, ccm, sau,.......
 
Hili jina la ukawa nikilisikia naangalia na vituko vya raisi naona kabisa uraisi wa lowasa ni wa kivuli kuna mafisadi wanataka kuongoza nchi hii mtake msitake mtakuja kujionea
 
Mwaka huu mtabadilisha ID mpaka ziishe, mtapost uvundo mpaka basi, ila mfahamu jambo moja tu, Tunataka MABADILIKO tayari tumeshaamua kuichagua UKAWA na rais wetu mtarajiwa ni Edward Lowassa.

Amen!!
 
Utumbo mtupu kajipange uje na uharo mwingine

Tulia ngoma ikuingie vizuri mbona unaweweseka? Kama ni pesa si tayari ushapiga njoo na hoja la sivyo demokrasia tunaiua kwa mikono na ndimi zetu. Madhara ya kubaka demokrasia ni makubwa kuliko wewe kuimbishwa slogan za kitoto kama huamini rejea yaliyomkuta mama lowassa kuleee simiyu, babu duni kuleee mtwara, ilalla na majimbo mengine ambapo watu wanafanya yao kimya kimya. Zinduka kijana acha kulewa siasa
 
Hili jina la ukawa nikilisikia naangalia na vituko vya raisi naona kabisa uraisi wa lowasa ni wa kivuli kuna mafisadi wanataka kuongoza nchi hii mtake msitake mtakuja kujionea

Umenena vizuri kidogo tu nikuite mtabiri lakini nikagundua wewe ni zaidi mtabiri
 
Mwaka huu mtabadilisha ID mpaka ziishe, mtapost uvundo mpaka basi, ila mfahamu jambo moja tu, Tunataka MABADILIKO tayari tumeshaamua kuichagua UKAWA na rais wetu mtarajiwa ni Edward Lowassa.

Tulia ngoma ikuingie vizuri mbona unaweweseka? Kama ni pe.sa si tayari ushapiga njoo na hoja la sivyo demokrasia tunaiua kwa mikono na ndimi zetu. Madhara ya kubaka demokrasia ni makubwa kuliko wewe kuimbishwa slogan za kitoto kama huamini rejea yaliyomkuta mama lowassa kuleee simiyu, babu duni kuleee mtwara, ilalla na majimbo mengine ambapo watu wanafanya yao kimya kimya. Zinduka kijana acha kulewa siasa
 
Tatizo UKAWA wameshafika point of no return!

Hivyo porojo zoote hizo hazibadilishi!

Wewe jidanganye tu nyuma ya kompyuta subiri kimsingi tayari upepo ushaanza kubadili graph moja inashuka nyingine inapanda kwa kasi. Huwezi kwenda ikulu kwa kuhadaa wananchi
 
Back
Top Bottom