Kama akili yako haikuliwa na laana utakuwa umejiuliza why sasa hakuna ufisadi na hali ya umasiki inashamiri sana?Kids mind!!
Nani alituaminisha adui yetu mkuu Ni UFISADI Kama sio hao Ukawa??? Kwahiyo kwasababu UFISADI mmeukubali Na kuupokea basi sio adui tena???
Kwa taarifa yako hao maadui uliowataja, Umasikini Na ujinga ambao sio maadui wapya katika bara hili la Africa, chimbuko la hao maadui Ni UFISADI!!!! Sumbua akili yako kidogo utalijua hilo!!
Then CCM wapo busy ktk kutafuta attention kule walikokataliwa!! Wanahonga pikipiki sehemu ambako hazihitajiki.... Wanapeleka neema walipokataliwa wanakuza laana walikochaguliwa ili akili zao zidumae na wawachague kila siku!!Kila siku huwa natoa mfano wa Tabora
ccm wanashinda majimbo yote
but majimbo yalivyo tu utajua kwa nini
kwanza majimbo hayana shule za high school
halafu wanajiandikisha watu 120000...lakini kura wanapiga watu 20000
na mgombea wa CCM anashinda kwa kura elfu 12 tu
Then CCM wapo busy ktk kutafuta attention kule walikokataliwa!! Wanahonga pikipiki sehemu ambako hazihitajiki.... Wanapeleka neema walipokataliwa wanakuza laana walikochaguliwa ili akili zao zidumae na wawachague kila siku!!
Mikoa inayonuka umasikini na inayoichagua sana CCM hakuna cha maana wanapeleka huko zaidi yakuhamasisha upuuzi.
Hebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...CCM base iko Ruvuma,Tabora Singida ,dodoma shinyanga....
huko wapinzani wakiweza hata 40 percent ..mchezo umeisha
Hebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...
Akina Dangote... Mambo ya sukari na mengine mengi ni vita vyao sasa tutatoka lini?
The only way ni kuwaondoa CCM!
Ni kweli kamanda CHADEMA ndicho chama chenye wasomi nguli na magwiji wa kitabu nchi hii.Kila siku huwa natoa mfano wa Tabora
ccm wanashinda majimbo yote
but majimbo yalivyo tu utajua kwa nini
kwanza majimbo hayana shule za high school
halafu wanajiandikisha watu 120000...lakini kura wanapiga watu 20000
na mgombea wa CCM anashinda kwa kura elfu 12 tu
Ovyo kabisa maskini weweKids mind!!
Nani alituaminisha adui yetu mkuu Ni UFISADI Kama sio hao Ukawa??? Kwahiyo kwasababu UFISADI mmeukubali Na kuupokea basi sio adui tena???
Kwa taarifa yako hao maadui uliowataja, Umasikini Na ujinga ambao sio maadui wapya katika bara hili la Africa, chimbuko la hao maadui Ni UFISADI!!!! Sumbua akili yako kidogo utalijua hilo!!
Sawa wewe tajiri!!Ovyo kabisa maskini wewe
Hivi mkuu unajua hata maana ya umasikini??Kama akili yako haikuliwa na laana utakuwa umejiuliza why sasa hakuna ufisadi na hali ya umasiki inashamiri sana?
Ahahahaha vita vyao vya chini wakitoka vita zao zitakua juu na wazi wakati utawala mpya utasonga mbele ujinga na vita nyingine ni hii ya wananchi ni pale wanapoambia nchi hii ni ccm ndo mikono salama wengine watauza nje na wananchi wanaamini ilo duh hii ni vita kwel kwelHebu angalia sasa lodilofa anavyomwendesha Sizonje... Ligi zake na JK zinaharibu uchumi wa nchi...
Akina Dangote... Mambo ya sukari na mengine mengi ni vita vyao sasa tutatoka lini?
The only way ni kuwaondoa CCM!