UKAWA na Lowassa ni Vigeugeu

UKAWA na Lowassa ni Vigeugeu

wangekuwa hawajawahi kusema hivyo wangetusumbua sana hao politicians sema kwa kuwa walishasemaga inabidi wawe wapole tu hawana jinsi maneno hayo hayawezi kufutika sasa
wapole kwa lipi hapo ni mahakama gani iliyodhibitisha hilo mbona wenye dola hawapeki suala hili mahakamani.
 
mbona na nyie mlikaa kimya bila kuwajibisha mpaka amaetoka ndo mnaanza kumtupia mawe ya udongo alafu mnajificha makwapani kwa mama zenu??nani ndani ya ccm aliwahi kukanusha ushiriki wa ccm katika ufisadi wot mkubwa?
 
Back
Top Bottom