kwa hao ccm ndio wa kuwamini kwa Lugumi,Escrow,meremeta,richmond,hao walio ongea na hao walio tenda sijui nani wa kumcheka mwenzake hapoSio wa kuwaamini hao jamaa.
Nalog off
maneno ya jikoni hayo sio hapa jamii forum.Dodoma yamewashinda sasa mnahaha jamii forum hili limewafia
nani aongelee ujinga huo,hao makomredi walichoongea ndicho kilichokuwa watanzania wameaminishwa na bunge chini ya kamati ya mwakyembe,lkn baada ya ukweli kujulikana na muhusika kusema nipelekeni mahakamani na ,paka leo watu wenye dola, na majeshi wamenymaza nani mwenye ukweli hapo,kwenye ukweli uongo hujitenga,tumeujua ukweli hatuna muda wa kubishana na wasaka tonge.BAVICHA huwa wanajifanya hawajaona huu uzi