Panazungumziwa "camera system" au "drones"? Nafikiri ni vitu viwili tofauti. Sheria ya nchii hii bado haijawa wazi kuhusu operation ya drones, hata mradi wa Anti-poaching ulishindwa ku-take off sababu ya undumilakuwili wa kisheria
Mimi nashangaa wanataka kukuza saula hili, mtu yeyote anaweza kuagiza vidrones hivi kupitia eBay au moja kwa moja kutoka Uchina kwa bei ndogo tu - ila kwa ajili ya usalama wa anga wasiruhusu viji dudu hivi kuingizwa ki holela nchini.
Nilisoma kwenye mtandao wiki iliyopita kuwa jamaa mmoja wa USA amekisambua kwa risasi wakati kinazengea kwenye nyumba yake!
Link itakusaidia nini! Soma The Washington Post Online ndiyo utapata hiyo story na nyingine nyingi.Weka link!
Acha ushamba wewe,ukitumia simu yako au computer unaweza kuona eneo lolote ukitaka kwa kutumia googlemap sasa kuna haja gani kuzuia watu wasipige picha?kawazuieni google!
Link itakusaidia nini! Soma The Washington Post Online ndiyo utapata hiyo story na nyingine nyingi.
Inafit mpaka kwenye masaburi yakowatakua walitumia,zile picha za mafuriko nyingi zimepigwa toka juu na sio toka juu ya jengo.
hapakuwa na helcopter ikichukua picha,kwahiyo explanation ya drone kutumika inafit.
Tunazungumzia za chadema za nyumbani kwako anzisha topic nyingineWatu hizo toy tunazo nyumbani wanachezea watoto wetu.
Amma kwa hakika kuna mijitu Tanzania bado imelala.
Tunazungumzia za chadema za nyumbani kwako anzisha topic nyingine
Ya bei ya chini kabisa ni $80
Japo zipo hadi za $ 700 ambazo zina technology ya 3D
Hizi kitu kisheria inatakiwa iidhinishwe na sheria za nchi coz kuna sehemu zingine ambazo kutumia hizi camera ni makosa na pia unaweza kufungwa kama sio kupigwa faini!
Hizi camera zinarushwa angani
Na pia zinakuwa controlled na remote!
Bei ya kamera hiyo je? Na imenunuliwa au ni kwa ufadhili wa nani vile.
Ni maamuzi tu, the price of a drone is between $1800 .... and above ... so even if you want it you can have it ...
You can even buy yours if you want, see below link:
DJI Phantom 3 Professional 4K HD 12 Megapix Camera Quad Drone UHD FHD | eBay