Ukawa na drone camera mwanza

Mi najua inarubani ndani....mtoto wa kizungu ndo anakiendesha....
 
Panazungumziwa "camera system" au "drones"? Nafikiri ni vitu viwili tofauti. Sheria ya nchii hii bado haijawa wazi kuhusu operation ya drones, hata mradi wa Anti-poaching ulishindwa ku-take off sababu ya undumilakuwili wa kisheria
 
AMA KWA HAKIKA UKAWA WAMEJIPANGA BARABARA MWAKA HUU,
TEKNOLOJIA YA DRONE CAMERA NADHANI NI MARA YA KWANZA KATIKA MEDANI ZA KISIASA NCHINI.
WADAU WA TEKNOLOJIA KARIBUNI TUJAZANE ZAIDI JUU YA TEKNOLOJIA HII.View attachment 277438

Ni ngumu kuamini eti umati wote huo ukienda kwenye sanduku la kura wengi wao wasimchague aliyewafanya wakusanyike hapo.
 
Last edited by a moderator:
Utofauti wa fikra za Watanzania katika ubora wake.
Na watu kama We can ndio wanaogopa eti ukibadili chama inakuja vita!
Bei ya kamera hiyo je? Na imenunuliwa au ni kwa ufadhili wa nani vile.
 

Sheria zipi, kwa mfano?
 
wacha kupotosha....polisi wa mwanza wenyewe wamekiri haijapata tokea umati wa namna ile mwanza...we kwavile unafaham kifaa hicho unaleta uongo wako hapa leta ushahidi
 
Zipo eBay au Amazon bei inategemea na ubora

Mimi nashangaa wanataka kukuza saula hili, mtu yeyote anaweza kuagiza vidrones hivi kupitia eBay au moja kwa moja kutoka Uchina kwa bei ndogo tu - ila kwa ajili ya usalama wa anga wasiruhusu viji dudu hivi kuingizwa ki holela nchini.
 
Pia hutumika kusafirisha parcel (vifurushi),kufanya surveillance,kuchunguza wawindaji haramu nk.
 
Panazungumziwa "camera system" au "drones"? Nafikiri ni vitu viwili tofauti. Sheria ya nchii hii bado haijawa wazi kuhusu operation ya drones, hata mradi wa Anti-poaching ulishindwa ku-take off sababu ya undumilakuwili wa kisheria

watakua walitumia,zile picha za mafuriko nyingi zimepigwa toka juu na sio toka juu ya jengo.
hapakuwa na helcopter ikichukua picha,kwahiyo explanation ya drone kutumika inafit.
 
Msishangae baada ya marufuku kuandamana nao drones zikapigwa ban.
 
wacha kupotosha....polisi wa mwanza wenyewe wamekiri haijapata tokea umati wa namna ile mwanza...we kwavile unafaham kifaa hicho unaleta uongo wako hapa leta ushahidi

UKAWA ndo habari ya mjini hakuna kulala mpaka waisome number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…