UKAWA na dharau kwa wateule wa Rais

UKAWA na dharau kwa wateule wa Rais

DC anatafuta kick kwa Rais na Meya anatafuta kick kwa wananchi sasa huoni ipi ni nzuri hapo

DC hawana kazi. Tupa kule. Meya na mkurugenzi wanatosha. Kiusalama ocd na usalama wa Taifa wanatosha. Kuratibu taarifa za wilaya DAS anatosha.
 
Weeee Mbururaaaaah nn? Makonda aliku*oa wewe? Yule msela tuuu kila cku yupo kitaa kutafuta vibinti akafurahi navyo vp wewe? Au ulihudhuria ndoa yake na mke wake vp?
Haaahaa Nyumbu bana. Naona umeishiwa hoja unaishia kumuattack mtu. Wewe sio critical thinker
 
Makonda alimpiga mzee Warioba, alimfutia viatu Riz sanjari na kumnyenyua juu kwa kumbeba, pia aliajiriwa na Membe kwa ajili ya kumtukana Lowasa leo hii eti naye ni mkuu wa wilaya ! ! Kutwa huwa anashinda na kamati za Ufundi akiamini atakuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.
UKAWA
 
Tumeona kwa Kubenea na Makonda; kesi ipo mahakamani kwa sasa.

Baada ya muda kidogo; akaja Msigwa na Kasesera.

Sasa tena Meya wa Kinondoni anamwamkia tena DC wake. Kuna nini kwa hawa viongozi wa Ukawa dhidi ya wateule wa Rais?

Wanasahau kwamba kupingana na hawa ni sawa na kushindana na rais mwenyewe?

Kwanini viongozi wa Ukawa mnakosa adabu kwa mamlaka za nchi?

Sidhani kama ni sifa au ndio mtaonekana wapinzani bora kwa kufanya vituko kama hivyo. Mjiheshimu na nyie pia mtaheshimiwa kwa nafasi zenu.

Inasikitisha sana kuona wawakilishi wa wananchi wakikosa staha mbele ya kadamnasi.

Jana katika taarifa ya habri ya ITV nilimuona Mkuu wa Wilaya ya Iringa Ndg Kasesera akiomba wadau mbali mbali kutoa misaada kwa wahanga wa mafuriko ya Pawaga, sasa ilikuwaje akate misaada ya mbunge wa jimbo husika na kumdhalilisha kama sio choko choko za kisiasa?
 
povu.jaji warioba kwenye rasim ya katiba alitaka hicho cheo cha DC kifutwe na kibaki cheo cha Ubunge kwasababu ndio aliyechaguliwa na watu.sio DC kateuliwa na mtu mmoja kwa sababu zao binafsi jiongeze dada yangu.hujui hata katiba ya nchi.

swissme
Sasa kwani tunatumia katiba ya warioba??

Jiongeze kidooogo tu ili uone zaidi!! Wakuu wa wilaya wako kwa mujibu wa katiba na ni wateule wa rais!!

Nadhani semina elekezi inahitajika ili wote wajue wajibu na mipaka yao ya kuutendaji!!

Ikumbukwe kua kuchaguliwa na wananchi haimaanishi ya kua umepewa hati milki ya eneo hilo au watu wa hapo,

Utovu wa nidhamu umewazidi hawa jamaa wa ukawa
 
Hata hao ulio wataja nao niviongozi waliochaguliwa na Wananchi wa Tanzania

Hujajibu hoja yake. Una maana wale walioteuliwa na Rais nao wajibizane na kuwadharau wale waliochaguliwa na wananchi? Yaani ni sawa kweli DC au RC aanze kumfokea na kumdharau Mbunge ? Ukweli ni kuwa tumefikia mahali pabaya sana kwa upande wa nidhamu. Sitaki kuzungumzia kwa undani suala la Kubenea na Makonda kwa kuwa suala lenyewe liko mahakamani. Lakini hili la Msigwa na Kasesera (hata kama huyu DC naye amezidi kuji-publicize) je, kulikuwa na umuhimu kweli kwa Msigwa kumsema vibaya hadharani huyo DC ? Tunajenga picha gani kwa watoto?
 
Tumeona kwa Kubenea na Makonda; kesi ipo mahakamani kwa sasa.

Baada ya muda kidogo; akaja Msigwa na Kasesera.

Sasa tena Meya wa Kinondoni anamwamkia tena DC wake. Kuna nini kwa hawa viongozi wa Ukawa dhidi ya wateule wa Rais?

Wanasahau kwamba kupingana na hawa ni sawa na kushindana na rais mwenyewe?

Kwanini viongozi wa Ukawa mnakosa adabu kwa mamlaka za nchi?

Sidhani kama ni sifa au ndio mtaonekana wapinzani bora kwa kufanya vituko kama hivyo. Mjiheshimu na nyie pia mtaheshimiwa kwa nafasi zenu.

Inasikitisha sana kuona wawakilishi wa wananchi wakikosa staha mbele ya kadamnasi.

Heshima iko pande mbili sawa.Kama MaDC hawa wanashindwa kuheshimu uamuzi wa wananchi basi hali hiyo itaendelea.Cha msingi hata kama ni mpinzani wafanye kazi pamoja.Wakiheshimiana hakuna kitakachotokea.Haiwezekani unamnyima Mbunge kuwapa msaada watu waliompigia kura eti sababu Mkuu wa wilaya.

Sisi sote ni watanzania tusigombee fito.Tukubali katika kukubaliana.Mwisho wa siku Judge Warioba aliliona hilo.Kwa sasa hawa wakuu wa Mikoa na Wilaya hawana kazi,waondoelewe tu ili watendaji wa serikali wawe watendaji haswa.

Hawa MaDC hata na wakurugenzi hawaelewani ni shida tu
 
Sasa kwani tunatumia katiba ya warioba??

Jiongeze kidooogo tu ili uone zaidi!! Wakuu wa wilaya wako kwa mujibu wa katiba na ni wateule wa rais!!

Nadhani semina elekezi inahitajika ili wote wajue wajibu na mipaka yao ya kuutendaji!!

Ikumbukwe kua kuchaguliwa na wananchi haimaanishi ya kua umepewa hati milki ya eneo hilo au watu wa hapo,

Utovu wa nidhamu umewazidi hawa jamaa wa ukawa

Unaliangalia kwa upande wako wa UCCM tu kuwa neutral.MaDC hata na Wakurugenzi maelewano yao ni madogo sana.Cha msingi ifike wakati wabaki watendaji wa serikalini tu,wakurugenzi na makatibu wa wilaya au mkoa.

Haiingii akilini kwanini Mkuu wa wilaya umkatalie mbunge kutoa misaada kwa wapiga kura wake,au haingii akilini kumnyima nafasi Mbunge kusalimiana au kuwapa pole ya maafa watu wake.

Heshima ni kitu kidogo tu,kipo pande zote mbili.Usitegemee umdhalilishe mtu halafu utegemee heshima haiwezekani hata kidogo.
 
povu.jaji warioba kwenye rasim ya katiba alitaka hicho cheo cha DC kifutwe na kibaki cheo cha Ubunge kwasababu ndio aliyechaguliwa na watu.sio DC kateuliwa na mtu mmoja kwa sababu zao binafsi jiongeze dada yangu.hujui hata katiba ya nchi.

swissme
Hivyo Rasimu ya Jaji warioba imeanza kutumika? Mbona mimim sina habari UDC umekwishafutwa hebu nijuze maana jana sijasikiliza vyombo vya habari!
 
Tumeona kwa Kubenea na Makonda; kesi ipo mahakamani kwa sasa.

Baada ya muda kidogo; akaja Msigwa na Kasesera.

Sasa tena Meya wa Kinondoni anamwamkia tena DC wake. Kuna nini kwa hawa viongozi wa Ukawa dhidi ya wateule wa Rais?

Wanasahau kwamba kupingana na hawa ni sawa na kushindana na rais mwenyewe?

Kwanini viongozi wa Ukawa mnakosa adabu kwa mamlaka za nchi?

Sidhani kama ni sifa au ndio mtaonekana wapinzani bora kwa kufanya vituko kama hivyo. Mjiheshimu na nyie pia mtaheshimiwa kwa nafasi zenu.

Inasikitisha sana kuona wawakilishi wa wananchi wakikosa staha mbele ya kadamnasi.

Hizi post zako huwa zinaniacha hoi, hivi kweli unaweza kuleta post ya Msigwa v/s Kasesela, sijui Kubenea v/s Makonda bila aibu, wakati huo huo huanzishi mada kuhusu huo uhuni unaendelea hapo Dar kuhusu meya wa jiji!? Kipi chenye maslahi kwa umma ukilinganisha hizo movie za wabunge vs madc na uwakilishi wa wananchi. Ndio maana watu wanapata hisia kwamba hayo majipu yanayotumbuliwa na wale tu wasiokuwa na mafungamano na ccm. Nilitarajia kwenye jambo kubwa kama la umeya hapo ndio tungeona rais wetu alivyoamua kutenda haki kwa watanzania wote lakini wapi.

Haya tuyaache hayo nije na mfano mwingine kuonyesha majipu yanayotumbuliwa ni ya wale tu wasio na mafungamano na ccm, imesemekana mafuta hayashuki bei japo kwenye soko la dunia yameshuka sana kisa Waziri Simbachawene aliagiza mafuta mengi bila kufuata utaratibu, akatoa sababu ambazo ziliacha kila mtu kinywa wazi, na mbaya zaidi haisemekani hiyo shehena ya Simbachawene itaisha lini ili bei ishuke. Huyu Simbachawene ni waziri aliyeko Tamisemi wizara iliyo chini ya rais, anashindwa nini kumchukulia hatua tuone kwamba haya majipu hayana upendeleo au double standard?

Jingine ni bei za umeme ambazo wabunge wetu wamepiga kelele mpaka wamechoka, na kuna maazimio ya bunge kama kukamata mitambo ya IPTL, mbona hatuoni akichukua hatua kutokana na mapendekezo ya bunge ama yeye hafanyi kazi na bunge bali anaweza kulinyang'anya tu pesa na kununua vitanda vya muhimbili katika kutafuta sifa binafse? Unapoanzisha mada ujue watu tuna akili timamu, ugomvi wa watu binafsi hauna maslahi kwetu kama mambo ya msingi yanayoweza kumgusa mwananchi hatuoni hatua stahiki zaidi ya kutumbua majipu kwa staili ya kudhalilisha wasio wanaccm.
 
Unaliangalia kwa upande wako wa UCCM tu kuwa neutral.MaDC hata na Wakurugenzi maelewano yao ni madogo sana.Cha msingi ifike wakati wabaki watendaji wa serikalini tu,wakurugenzi na makatibu wa wilaya au mkoa.

Haiingii akilini kwanini Mkuu wa wilaya umkatalie mbunge kutoa misaada kwa wapiga kura wake,au haingii akilini kumnyima nafasi Mbunge kusalimiana au kuwapa pole ya maafa watu wake.

Heshima ni kitu kidogo tu,kipo pande zote mbili.Usitegemee umdhalilishe mtu halafu utegemee heshima haiwezekani hata kidogo.
Swala hili lianze kwa ukawa kukubali kwanza kua mfumo wa utawala wa sasa ambao upo chini ya ccm unawahusisha na ma DC ambao ni wawakilishi wa Rais kule wilayani. Sasa kwa kuanza kuona kua ma DC hawastahili kuwepo katika mfumo wa utawala ndio chanzo cha Ukawa kudharau ma DC, baada ya kutambua mamlaka ya MaDC na pia Ukawa nao kutambua mipaka ya utendaji wao, migongano haitakuwepo. Naona kama vile kuna ugeni katika baadhi ya nafasi na pindi kila mtu akitambua wajibu wake migongani itapungua.
 
Watu wanataka action watu wanataka kiongozi aliyekaribu nao !! Awe DC ay meya ...

Mpaka sasa wanakindoni wanamkubali makonda!! Sasa meya kama na yeye anagaka akubalike awe mbunifu!!

Wasituletee siasa!! Kwenye issue za maendeleo...
 
Swala hili lianze kwa ukawa kukubali kwanza kua mfumo wa utawala wa sasa ambao upo chini ya ccm unawahusisha na ma DC ambao ni wawakilishi wa Rais kule wilayani. Sasa kwa kuanza kuona kua ma DC hawastahili kuwepo katika mfumo wa utawala ndio chanzo cha Ukawa kudharau ma DC, baada ya kutambua mamlaka ya MaDC na pia Ukawa nao kutambua mipaka ya utendaji wao, migongano haitakuwepo. Naona kama vile kuna ugeni katika baadhi ya nafasi na pindi kila mtu akitambua wajibu wake migongani itapungua.

Kwa bahati mbaya sana ninachokiona kwa upande waungu, madc wengi wanafanya kazi kama wanaccm na sio watumishi wa umma. Ukijaribu kuangalia inakuwa kama madc wamepewa maelekezo ya kuifanya ccm ikubalike kwenye maeneo yao na kwa kiasi fulani kuna kuwa na hisia kwamba kama dc eneo lake lina mpinzani ni lazima amuonyeshe mabavu yake huyo mpinzani kwamba yuko chini ya serekali ya ccm. Na yote haya yanasababishwa na ule ujinga wa waafrika walio wengi wakipata cheo basi ni shida. Huku kwetu kwa sehemu kubwa utofauti wa vyama ni kama uhasama vile, na yule anayepata madaraka akawa na nguvu ya kuamrisha vyombo vya dola basi ujue ni nadra sana kutumia vyombo hivyo kwa kufuata sheria zaidi ya kutaka kujionyesha yeye ni nani? Mfano halisi ni huo wa jirani yetu Museveni. Sasa kutokana na hicho nilichosema cha utofauti wa vyama kuwa ni kama uhasama kwa upeo wetu mdogo wa kufikiri unakuta mbunge anatambia wananchi waliomchagua wakati Dc anataka kuonyesha yeye ndio zaidi enoe hilo na kama huamini analeta dola kuonyesha jinsi alivyo zaidi. Imefikia hatua kiongozi anafanya hili jambo ni la maana mpaka anamwambia mkewe huyu hanitambui ngoja kesho nitamuonyesha mimi ni nani!!
 
Swala hili lianze kwa ukawa kukubali kwanza kua mfumo wa utawala wa sasa ambao upo chini ya ccm unawahusisha na ma DC ambao ni wawakilishi wa Rais kule wilayani. Sasa kwa kuanza kuona kua ma DC hawastahili kuwepo katika mfumo wa utawala ndio chanzo cha Ukawa kudharau ma DC, baada ya kutambua mamlaka ya MaDC na pia Ukawa nao kutambua mipaka ya utendaji wao, migongano haitakuwepo. Naona kama vile kuna ugeni katika baadhi ya nafasi na pindi kila mtu akitambua wajibu wake migongani itapungua.

Swala la kukubali au kutokukubali halupo.Issue CCM hamjaukubali utamaduni wa vyama vingi.NA siyo Tanznaia tu Afrika nzima.Kumbuka kama CCM mngewafikiria watanzania japo kidogo tu,ulaji uliovuka mipaka usingekuewepo.Pili Imani kwa CCM isingeshuka.

Stroke wapinzani walipigia foleni ndefu ya wanaoambatana na RAIS JK kwenye mikutano nje ya nchi,lakini mliona wanawivu,leo Magufuli kakubali kwamba Wapinzani walikuwa na HOJA na anaifanyia kazi na leo wote mnageuka mnampigia makofi Magufuli.

Cha msingi kubali kwa sasa tuko kwenye system ya vyama vingi kubalini
 
Back
Top Bottom