Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,134
Tumeona kwa Kubenea na Makonda; kesi ipo mahakamani kwa sasa.
Baada ya muda kidogo; akaja Msigwa na Kasesera.
Sasa tena Meya wa Kinondoni anamwamkia tena DC wake. Kuna nini kwa hawa viongozi wa Ukawa dhidi ya wateule wa Rais?
Wanasahau kwamba kupingana na hawa ni sawa na kushindana na rais mwenyewe?
Kwanini viongozi wa Ukawa mnakosa adabu kwa mamlaka za nchi?
Sidhani kama ni sifa au ndio mtaonekana wapinzani bora kwa kufanya vituko kama hivyo. Mjiheshimu na nyie pia mtaheshimiwa kwa nafasi zenu.
Inasikitisha sana kuona wawakilishi wa wananchi wakikosa staha mbele ya kadamnasi.