funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,922
SHAME SHAME SHAME UPON YOU!
Acha niwapasukie ukawa kwa utoto walioufanya na wanaoendelea kuufanya!
Ukawa wananisikitisha sana kwa kukosa confidence!
Toka wakati wa kampeni wameonekana sana kuitafuta huruma ya wazungu badala kujikita kwenye mikakati ya ushindi kwa kutumia mbinu za kitanzania.
Katika kipindi chote cha uchaguzi walionekana kuitafuta huruma ya jumuiya ya kimataifa wakilenga vyombo vya habari vya kimagharibi na mahakama ya ICC.
Tulijionea mgombea wa UKAWA kuhojiwa na vyombo vya habari vya kimagharibi.
LEO HII TUNAONA watanzania waliokimbia Tanzania wakijidai wanaandamana ili wasikilizwe na wazungu!
Huu umburula wa kutegemea wazungu utaisha lini?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA