UKAWA wamefulia....imekula kwao
walolitaka halijawa
Ukawa has nothing to lose. Mwananchi wa kawaida ndiye atakayeumia. Tatizo watu wanachukulia the whole thing kama mashindano ya simba na yanga. Hili ni suala la mustakabali wa nchi nzima. Too sad. Thinking capacity ya watu wengine is xtremely low.