DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Kwani si mlishaambiwa lile ni kundi la vibaka?
hata 25 oktoba waandike vibaka vya mtupa magufuli nje ya ikuluWakati inasemwa waliomsindikiza ni vibaka na wapolaji, mwanaJF au mfanyabiashara yeyote ambaye aliibiwa au kuvamiwa wakati msafara wa kumsindikiza EL kuchukua fomu pale NEC ulipopita ajitokeze na kusema ilivyotokea, vinginevyo ili gazeti lifungiwe.
Nawasilisha.
Wakati inasemwa waliomsindikiza ni vibaka na wapolaji, mwanaJF au mfanyabiashara yeyote ambaye aliibiwa au kuvamiwa wakati msafara wa kumsindikiza EL kuchukua fomu pale NEC ulipopita ajitokeze na kusema ilivyotokea, vinginevyo ili gazeti lifungiwe.
Nawasilisha.
Mimi kila nikifikiria walivyoipitisha ile sheria ya makosa ya kimtandao....na ile ya takwimu serikali ndio nazidi kuichukia CCM......VIVA UKAWA......VIVA LOWASAAA.....
Kwenye red na yellow haueleweki hapo mkuu, hebu tupate kauli za walioporwa na hao vibaka.... Uliza waendesha magari wengi kilichowapata jana maeneo ya salender bridge.
Kwani aliposema hii kauli alisema kuhusiana na nini?
Hata SEIF SHARIF Hamad alipohutubia aliliona hilo akasema katika hotuba yake kuwa wasindikizaji wakubwa wa Lowasa WALIKUWA vijana akaishia hapo lakini wale si vijana wa kawaida ni vibaka hata ukiwatizama muonekano wao unajua ni vibaka si vijana wastaarabu.
huyo mwandishi itakuwa aliandika akiwa amekalia rungu la nyama, sio akili yake bali hicho alichokuwa amekalia wakati anaandika ndo kilimpoteza
Ukawa kazeni buti inchi IKULU kweupeeeee!
Umesema yote mkuu, kwa ufupi lakini kwa usahihi mkubwa.Logic inasema hivi "Kama Dar es Salaam tu ina vibaka na wezi wengi kiasi kile, then kila familia Dar ina walau wezi wawili. Na kama wezi wote wanafahamika na hawakamatwi na polisi basi na polisi na viongozi wote ni wezi kwa sababu wanawalinda wezi wenzao. Kama mwandishi anawafahamu wezi na vibaka wote wale then huyo mwandishi pamoja na mhariri nao ni viongozi wa kundi hilo la hao wezi".
Ushauri kwa waandishi pamoja na serikali ya CCM kwa ujumla. statement kama hizi na ile ya NAPE inaamsha hasira kwa wapiga kura wengi hasa vijana hivyo badala ya kuisaidia kujenga CCM na serikali inazidi kubomoa. Regulator wa magazeti waangalie uandishi wa style hii sio healthy kwa pande zote (serikali, CCM na UKAWA) hivyo hiki kipindi kila mtu afanye kazi yake tuwe na fair play.