UKAWA: mnausishwa hapa

UKAWA: mnausishwa hapa

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
Wakati inasemwa waliomsindikiza ni vibaka na wapolaji, mwanaJF au mfanyabiashara yeyote ambaye aliibiwa au kuvamiwa wakati msafara wa kumsindikiza EL kuchukua fomu pale NEC ulipopita ajitokeze na kusema ilivyotokea, vinginevyo ili gazeti lifungiwe.
Nawasilisha.
 
Attachments

  • 1439271146769.jpg
    1439271146769.jpg
    9.4 KB · Views: 662
Wakati inasemwa waliomsindikiza ni vibaka na wapolaji, mwanaJF au mfanyabiashara yeyote ambaye aliibiwa au kuvamiwa wakati msafara wa kumsindikiza EL kuchukua fomu pale NEC ulipopita ajitokeze na kusema ilivyotokea, vinginevyo ili gazeti lifungiwe.
Nawasilisha.

Nguvu ya umma haiuawi kwa bunduki. Taarifa kwa mwandishi, mhariri na yule aliyemtuma.
 
Logic inasema hivi "Kama Dar es Salaam tu ina vibaka na wezi wengi kiasi kile, then kila familia Dar ina walau wezi wawili. Na kama wezi wote wanafahamika na hawakamatwi na polisi basi na polisi na viongozi wote ni wezi kwa sababu wanawalinda wezi wenzao. Kama mwandishi anawafahamu wezi na vibaka wote wale then huyo mwandishi pamoja na mhariri nao ni viongozi wa kundi hilo la hao wezi".

Ushauri kwa waandishi pamoja na serikali ya CCM kwa ujumla. statement kama hizi na ile ya NAPE inaamsha hasira kwa wapiga kura wengi hasa vijana hivyo badala ya kuisaidia kujenga CCM na serikali inazidi kubomoa. Regulator wa magazeti waangalie uandishi wa style hii sio healthy kwa pande zote (serikali, CCM na UKAWA) hivyo hiki kipindi kila mtu afanye kazi yake tuwe na fair play.
 
Good remark, ni angalizo jema kabisa!
 
Hizi ndizo 'kete' zitazochezwa wakati wa kampeni, CCM inasahau watanzania ni watu wa mihemko..na wakikumbushwa haya(na mengine mengi) ushindi unachukuliwa na UKAWA mapema and if not hili kundi litamaliza mtu, i smell blood kwa ujinga na upumbavu unaofanywa na CCM na Viongozi wake wakuu.
 
Logic inasema hivi "Kama Dar es Salaam tu ina vibaka na wezi wengi kiasi kile, then kila familia Dar ina walau wezi wawili. Na kama wezi wote wanafahamika na hawakamatwi na polisi basi na polisi na viongozi wote ni wezi kwa sababu wanawalinda wezi wenzao. Kama mwandishi anawafahamu wezi na vibaka wote wale then huyo mwandishi pamoja na mhariri nao ni viongozi wa kundi hilo la hao wezi".

Ushauri kwa waandishi pamoja na serikali ya CCM kwa ujumla. statement kama hizi na ile ya NAPE inaamsha hasira kwa wapiga kura wengi hasa vijana hivyo badala ya kuisaidia kujenga CCM na serikali inazidi kubomoa. Regulator wa magazeti waangalie uandishi wa style hii sio healthy kwa pande zote (serikali, CCM na UKAWA) hivyo hiki kipindi kila mtu afanye kazi yake tuwe na fair play.

Good point.
 
Your genius Mkuu.... Well articulated
 
Hyo mwandsh hajielewi kwamtu anaejua kusoma hawezi hata kuhangaika kusoma hyo yabar xx kama umati ule ote nwezi ndo kusema kura zao haziesabiwi! au nwatu ambao hawana cfa yakupiga kura hyo mwandsh hana taaluma yauandshi kavutwavutwa tu.
 
Hata wawaiteje! Hakuna kura inayoonyesha imepigwa na mtakatifu au kibaka!!! Zote zina sifa Sawa! Shame on them.
 
Mimi kila nikifikiria walivyoipitisha ile sheria ya makosa ya kimtandao....na ile ya takwimu serikali ndio nazidi kuichukia CCM......VIVA UKAWA......VIVA LOWASAAA.....
 
CCM wanazidi kujiharibia, mi nafikiri hii single itumike kwenye kampeni za ukawa, kwamba CCM inawaita wakazi wa dar wezi, na wanywa viroba! Reaction yake wataisikilizia kwenye polling outcomes.
 
Wakati inasemwa waliomsindikiza ni vibaka na wapolaji, mwanaJF au mfanyabiashara yeyote ambaye aliibiwa au kuvamiwa wakati msafara wa kumsindikiza EL kuchukua fomu pale NEC ulipopita ajitokeze na kusema ilivyotokea, vinginevyo ili gazeti lifungiwe.
Nawasilisha.

Hawakupora mtu kwa kuogopa polisi.Ila wengi wenye magari magari yao yalikuwa yakipigwa kwa kugongwa gongwa na mikono na ngumi wakiambiwa wazi kuwa mtatukoma Lowasa akipita.Uliza waendesha magari wengi kilichowapata jana maeneo ya salender bridge.

Hata SEIF SHARIF Hamad alipohutubia aliliona hilo akasema katika hotuba yake kuwa wasindikizaji wakubwa wa Lowasa WALIKUWA vijanaakaishia hapo lakini wale si vijana wa kawaida ni vibaka hata ukiwatizama muonekano wao unajua ni vibaka si vijana wastaarabu.
 
Back
Top Bottom