UKAWA mnatuchanganya, acheni sifa

UKAWA mnatuchanganya, acheni sifa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Hatulali.Hatuli,tukashiba. Hatuwazi tukang'amua. Hatupigi tena stori maofisini na kupumzika kidogo. Acheni sifa za kijinga. Mnataka tuwe tunatumwatumwa kila wakati au? Mnataka nyaraka-kemea ziendelee kutamalaki chamani mwetu? Acheni hizo. Ndiyo nini kugawana mikoa mbalimbali ya Tanzania na kushambulia kama nyuki? Mnalenga nini? Sifa zitawaua nyinyi UKAWA.

Kwa taarifa yenu, nasi tunasubiri 'mambo fulani' yaidhinishwe ili tuje kuwajibu mapigo yenu na tuvijibu vihoja vyenu kwa hoja za haja. Tutafanya mikutano ya mfano na si ya ngano. Tutafunika na kuwashika. Hakakuwa na ACT wala UKAWA.CCM ikianza kuunguruma,wote mtajificha. Sifa zenu zitawaponza!

Endeleeni tu kutuchokoza. Kama mbwai,itakuwa mbwai kweli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
nasikia siku hizi mmeacha kutumia fisi mmehamia kwenye kangalao? hiyo ziara mtatumia nini tena
 
Tunawakaribisha mtaani, ila mje na takrima ya kutosha - sisi tutajipanga tujae kwenye mikutano yenu, msisahau usafiri wa kwenda na kurudi mikutanoni, Posho za siku, ikiwezekana Pilau na Soda!! Msibadililke - Tunawasubiri kwa hamu.
 
Fuso zitapata pesa safari hii. Kusomba watu wa CCM mikoa yote si kazi ya kitoto
 
subirini tuwape bibi zenu na babu zenu kofia,kanga, na t-shirt vijijini kwenu waendelee kutupa kura!!! nyie endeleeni kupiga kelele mijinii!!:smile-big:
 
Kwa sasa kipaumbele chetu...Ni kuliondoa hili zimwi CCM Madarakani kwanza....mengine baadae...Naomba CCM waniletee kodi yangu walioiba Hazina kupitia ESCROW...Nakula CCM...Kura UKAWA
 
wasalimie hapo ufipa kama hujabahatika kupata nafasi ya kula posho za hao waliosambaa mikoani..

Hatulali.Hatuli,tukashiba. Hatuwazi tukang'amua. Hatupigi tena stori maofisini na kupumzika kidogo. Acheni sifa za kijinga. Mnataka tuwe tunatumwatumwa kila wakati au? Mnataka nyaraka-kemea ziendelee kutamalaki chamani mwetu? Acheni hizo. Ndiyo nini kugawana mikoa mbalimbali ya Tanzania na kushambulia kama nyuki? Mnalenga nini? Sifa zitawaua nyinyi UKAWA.

Kwa taarifa yenu, nasi tunasubiri 'mambo fulani' yaidhinishwe ili tuje kuwajibu mapigo yenu na tuvijibu vihoja vyenu kwa hoja za haja. Tutafanya mikutano ya mfano na si ya ngano. Tutafunika na kuwashika. Hakakuwa na ACT wala UKAWA.CCM ikianza kuunguruma,wote mtajificha. Sifa zenu zitawaponza!

Endeleeni tu kutuchokoza. Kama mbwai,itakuwa mbwai kweli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Wengi hamjamuelewa.Huyu anawaponda CCM kama vile anaimba mashairi ya kuwaponda kiaina.
 
Hatulali.Hatuli,tukashiba. Hatuwazi tukang'amua. Hatupigi tena stori maofisini na kupumzika kidogo. Acheni sifa za kijinga. Mnataka tuwe tunatumwatumwa kila wakati au? Mnataka nyaraka-kemea ziendelee kutamalaki chamani mwetu? Acheni hizo. Ndiyo nini kugawana mikoa mbalimbali ya Tanzania na kushambulia kama nyuki? Mnalenga nini? Sifa zitawaua nyinyi UKAWA.

Kwa taarifa yenu, nasi tunasubiri 'mambo fulani' yaidhinishwe ili tuje kuwajibu mapigo yenu na tuvijibu vihoja vyenu kwa hoja za haja. Tutafanya mikutano ya mfano na si ya ngano. Tutafunika na kuwashika. Hakakuwa na ACT wala UKAWA.CCM ikianza kuunguruma,wote mtajificha. Sifa zenu zitawaponza!

Endeleeni tu kutuchokoza. Kama mbwai,itakuwa mbwai kweli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kaka jana mmesema kura ya ndiyo wao UKAWA wana waambia watu wakajiandikishe na wapige kura ya hapana mwaka tutaheshimiana tu .
 
picha ndokwanza inaanza

mtakapo anza msisahau kodi ya mpiga debeee

fisi tumemchoka asaiv tuna taka twiga na kifaru bila kumsahau yule raia anayetembeaaga kwenye barafu
 
Hatulali.Hatuli,tukashiba. Hatuwazi tukang'amua. Hatupigi tena stori maofisini na kupumzika kidogo. Acheni sifa za kijinga. Mnataka tuwe tunatumwatumwa kila wakati au? Mnataka nyaraka-kemea ziendelee kutamalaki chamani mwetu? Acheni hizo. Ndiyo nini kugawana mikoa mbalimbali ya Tanzania na kushambulia kama nyuki? Mnalenga nini? Sifa zitawaua nyinyi UKAWA.

Kwa taarifa yenu, nasi tunasubiri 'mambo fulani' yaidhinishwe ili tuje kuwajibu mapigo yenu na tuvijibu vihoja vyenu kwa hoja za haja. Tutafanya mikutano ya mfano na si ya ngano. Tutafunika na kuwashika. Hakakuwa na ACT wala UKAWA.CCM ikianza kuunguruma,wote mtajificha. Sifa zenu zitawaponza!

Endeleeni tu kutuchokoza. Kama mbwai,itakuwa mbwai kweli!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Haaa chama kikishazoea ela za wizi ni balaa. Eti mambo fulani, vp amjapiga kwenye gas?
 
Back
Top Bottom