UKAWA: Mnanjia mbili tu za kuchagua Kushindwa KWA Kishindo au Kushindwa Uchaguzi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
MKAKATI WA CCM​
FUNGU LA KUKOSA;
Kwa kamati hi iliyoundwa na ccm ni wazi malengo yake ni kuwalazimisha ukawa kujikita zaidi kwenye kujibu tuhuma dhidi ya lowasa.
Ukawa mkijisahau mkaingia kwenye mkenge huu imekula kwenu.ccm hawana jipya hata ukiangalia kwenye ilani yao ya uchaguzi hakuna kipya bali wanajaribu kuuza achacho walishashindwa miaka yote.hivyo hawana cha kupoteza zaidi ya kuwatoa wapinzani wao kwenye mada ili wao waonekane ndiyo wenye cha maana zaidi

FUNGU LA KUSHINDA;
Ni wajibu wa wanaukawa haswa watakaokuwa kwenye tum moja na mgombea uraisi kuachana kabisa kabisa kijibu tuhuma na badala yake wajikite kwenye kuuza ilani ya ukawa, kuhusu kujibu tuhuma wawaachie wanachama wenyewe, kwasababu hata ukawa wakiingia ikulu hawataenda ikulu kutekeleza tuhuma za uchaguzi au za mtu binafsi, bali ni ilani ya ukawa.
 
Hata hivyo kuna team imeanzishwa hasa mitandaoni specific kwa ajili ya kazi ya madodoki na ommo
 
Ccm watakua watu waajabu sana kama ile timu imeundwa kuelza ufisadi wa Lowassa.. Maana swali ni moja tu.. Kama waligundua ni fisadi na Ushaidi Upo Je walichukua hatua gani toka 2008 mpaka leo.. ..? Kama wataweza kujibu Tutawaelewa
 
Back
Top Bottom