Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Kwa wale wenye uzoefu wa kutongoza wanawake si ajabu watakuwa wanaujua huu msemo wa kuwa friendzoned yaani hali Mwanaume kumpenda Mwanamke lkn mwanamke anamchumkulia (mwanaume) kama rafiki tu na hivyo hana (mwanume) nafasi tena ya kumpata huyo mwanamke!
Na mara nyingi sababu kubwa ya kuwa friendzoned na mwanamke ni Muda (timing), Unapomuona mwanamke ukampenda na kuamua kumtongoza hapa muda ni kila kitu unatakiwa ufanye move kwa haraka sana na uweze kupangilia mambo yako ili upate matokeo mazuri, yaani kila kitu kiende wakati mambo bado yako moto moto lkn ukimpa mwanamke muda sana wa kufikiria basi ujue utaishia kuwa rafiki tu na au kuwa friendzoned na hautampata kamwe, sasa hili linahusiani vipi na UKAWA?
UKAWA waliitangazia nchi ya kwamba wanatangaza washika Bendera wa Kambi yao kwenye Uraisi hivyo tukawa na shauku ya kujua na mambo yakawa motomoto sasa badala ya UKAWA kuwa fast na kutumia muda vizuri wakaamua kurefusha muda matokeo yake wamewapa Watz muda wa kufikiri na sasa wamekuwa friendzoned na Watz na hivyo hamna nafasi tena!
Nawashauri mjaribu kama ilivyo kwenye kutongoza msichana mwingine lkn hapo hamna nafasi tena treni imeshaondoka na mara ya pili msirudie hilo kosa time is everything, mmeona CCM kila kitu chap chap matokeo yake wamekubaliwa!