UKAWA mbona mnatuchanganya? Hii nini maana yake kuhusu Lipumba na UKAWA?

Kwani wewe kwa akili yako unategemea kwa gazeti linalomilikiwa na Rostam Aziz kwa 100% litaandika habari za namna gani kuhusu Ukawa?!
Kwa sasa hakuna Mtanzania mtakayeweza kupindua akili yake na msimamo wake kwa njia hiyo. Wananchi wameshashtuka kama MaCCM yanawatapeli tu.
Ova

Kama chadema ilivyotapeliwa na Mbowe kwa kuuziwa mafuso mabovu kwa mil 600, hatari sana!
 
UFISADI kwako ni hadith kwakuwa Umevimbiwa fedha za ESCROW... Subirini maisha yatakavyowawia magumu baada ya uchaguzi Mkuu... Lazima mtinge Gerezani ... Wananchi hawadanganyiki na ujinga wa kuwakamata vidagaa na kuwaacha akina Chenge na Ngeleja, Tibaijuka et al ..

Mtasubiri sana mpaka babu atazidi kuzeeka, nani awape nchi wachaga!
 
wachaga wamekufanya nini? wewe ni lile kabila lenye matunguli au lile lenye kugawana fedha za ESCROW? au ni wale ambao wakijenga kijijini mnawapiga kipapai? ... Akili yako fupi sana ndo maana propaganda za kikabila na udini zimekuganda ktk karne hii ya sayansi na Hi Tech...
Mtasubiri sana mpaka babu atazidi kuzeeka, nani awape nchi wachaga!
 
Turudi kwenye mada, achana na imani za kuletwa hizo, kwani Slaa anaweza na sifa gani zaidi ya Lipumba kiasi kwamba agombee kupitia ukawa?

Poa mkuu! Binafsi japo nadhani Slaa angefaa zaidi kwa sababu hata statistically alpata kura nyingi zaidi 2010 kuliko Lipumba lakini sioni kama kuna tatizo lolote yeyote kati yao akigombea. kinachotakiwa ni makubaliano ndani ya Ukawa na kuwatoa CCM, tuweze kuitoa nchi yetu mikononi mwa akina Chenge na kuileta kwa watanzania wazalendo.
 
Wewe unaakili kweli mbona unazungumza kitu tofauti na mada ilivyo akili yako iko upande gani wa mwili wako hebu tafuta gazeti la rai la siku ya leo hiyo habari ipo unabisha nini na kuongea uongo wako wa kuzua hapa.

Hivi Rai ndo lile gazeti la mafisadi? Tulishazoea hizo propaganda za kijuha
 
Mtasubiri sana mpaka babu atazidi kuzeeka, nani awape nchi wachaga!

Unadhani nchi hii inagawiwa na lumumba aka mafisadi? Tutampigia kura dr slaa kwa sababu tuna imani nae,ndiye kiongozi pekee anayetakiwa kuliongoza taifa kwa sasa na kuuzika mfumo fisadi uliotufikisha hapa kwenye umaskini wa kutupa
 
Sawa bana wewe kama mwanabawacha jukumu lako ni lipi au kubeba mikoba ya mwenyekiti wako tu?

Lakini hebu rudi kwenye mada kidogo tunajua kuwa ukawa watatoa mgombea mmoja wa kuwakilisha vyama vyote vitatu lakini jana adul kambaya kamtangaza lipumba kuwa mgombea wa cuf hii ipoje?

Nasikia kuwa CCM wameamua kijitoa kwenye mchuano wa uchaguzi kwa kukosa mgombea mwenye sifa.Hii imekaaje?
 
mr bean.jpg
 
Tuwe wakweli ndugu zangu kwenye suala la mgombea urais mwaka 2015, iwe ni upande wa CCM au upande wa UKAWA hakuna mwenye sifa nzuri kama Prof. Lipumba
 
Sawa bana wewe kama mwanabawacha jukumu lako ni lipi au kubeba mikoba ya mwenyekiti wako tu?

Lakini hebu rudi kwenye mada kidogo tunajua kuwa ukawa watatoa mgombea mmoja wa kuwakilishia vyama vyote vitatu lakini jana adul kambaya kamtangaza lipumba kuwa mgombea wa cuf hii ipoje?
hiyo pia inaweza kuwa mbinu ya ukawa katika safari yao. Mbona nyinyiemu kibao walitangaza kugombea lakini hamjasema,? Ufike wakati na watawala mjue kuwa mmebakizazi sifa mbaya tu nzuri zote mlishapoteza kitambo. Hamna jipya kwa sasa.. jasho litawatoka 2015/10
 
Wewe dada nilisha kwambia kama hujaolewa basi hautaolewa tena na kama umeolewa basi mme wako anahasara sana kwa kuwa ameoa kichomi

Mimi sijaolewa na wala sitarajii kuolewa na wala hilo la kuolewa kwetu hakuna kabisa.

Si mimi, si bibiya'ngu, si mama'ngu, si mwana'ngu si wajukuu za'ngu wanaotarajia au kufikiria kuolewa au kuoa.

Sisi kuolewa kwetu mwiko. Sisi tunaowana tu. Kumbuka hilo.

Kuolewa na kuoa ni huko kwenu tu msiojijuwa.
 
Sawa bana wewe kama mwanabawacha jukumu lako ni lipi au kubeba mikoba ya mwenyekiti wako tu?

Lakini hebu rudi kwenye mada kidogo tunajua kuwa ukawa watatoa mgombea mmoja wa kuwakilisha vyama vyote vitatu lakini jana adul kambaya kamtangaza lipumba kuwa mgombea wa cuf hii ipoje?

ukishajua itakusaidia nini we gamba, el akiwa m/kiti wa chama sijui watu kama nyie mtaendelea kupata b7 kwa post za kipuuzi kama hizi
 
Mkuu, mpaka hapo unajua CHADEMA wameshachanganyikiwa, kule kubebwa na jina UKAWA hakutakuwepo tena, ZITTO wameshamkosa, unadhani akili zao zitakuwa sawa kweli?

serikali za mitaa zzk alikuepo!!! wakati mnapoteza mitaa, na mwandiga act imechua mitaa yote!!!????
 
Chadema muislamu yoyote ni sawa na ccm tu hivyo hawatakubali lipumba awe mgombea wao hapo ndipo picha litaanzia. Kuungana mchezo banah aah! Mbwembwe nyiiiingi huku wote mnanjaa ya Urais subirini muziki wa iyena iyena watakavyowapiga chini ya mkanda hiyo oktoba. Saa nne asbh tu shughuli imeisha tunafanya kazi nyingine. CCM wanaitwa KKK maana Kila Kitu Kimo wakikushindwa katka pingamizi ndani ya chumba cha kura watateka masanduku uchguzi urudiwe au kura feki au watanunua viwakala vyenu vyenye njaa
 
Tafuta Rai gazeti la leo alhamisi cuf wamemtangaza prof lipumba kuwa mgombea Urais wa cuf mwaka huu mimi nilidhani atakuwa mgombea wa ukawa kumbe tena cuf,nyie kambaya na mnyika tupeni ukweli wa hili kama tunazika ukawa tujue mapema kabisa ili tujipange kivingine.
Tekenyanyeni then mcheke wenyewe
 
Back
Top Bottom