UKAWA: Mbona hamtujuzi habari za kijana wenu M/kiti wa BAVICHA?

Hakuna anayeunga mkono rais wake kutukanwa, ila kuongelewa ni sahihi. Yeye sio malaika kwamba matendo yake yote ni sawa ...

Mnataka kuleta mambo ya kizamani ...

Wahaya enzi za zamani .. Omukama alikuwa akitoa ushuzi hata kama unanuka vipi wapambe wake wanampongeza. Nawanukuhu

"KILA WAITU" / ABUKA..
Wakola waitu wanyampage akanyampo kanukage nka amarashi
 
Back
Top Bottom