UKAWA: Mbona hamtujuzi habari za kijana wenu M/kiti wa BAVICHA?


Gibiba

Gibiba

Senior Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
111
Likes
27
Points
45
Age
38
Gibiba

Gibiba

Senior Member
Joined Jun 22, 2016
111 27 45
Ni takriban cku 4au5 hivi tangu mmeripotisha hapa jamvin,kwamba kakamatwa m/kiti wenu wa BAVICHA na amepelekwa kusikojulikana.

Hivyo tulitegemea kuendele kupata update kwa kila hatua lakin cha ajabu mmekaa kimya.

Hata kama amepatikana,vyema pia mkatujuza wana jamvi ili kuondoa maswali mengi yaliyokosa majawabu.

Au ni umaarufu tu mliokuwa mnamtafutia?kwamba na yeye aonekane mtu maarufu kwa kukamatwa na polisi?

Naomba majibu tafadhali!
 
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
247
Likes
155
Points
60
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
247 155 60
Soma tena halafu uweke sawa Swali lako
 
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
9,166
Likes
4,796
Points
280
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
9,166 4,796 280
kazi mnayo.
 
chipolopolo 2

chipolopolo 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Messages
3,227
Likes
1,645
Points
280
chipolopolo 2

chipolopolo 2

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2014
3,227 1,645 280
Mwenyekit wa chaso ni yupi? Na ni wa mkoa gan manake wenyekit wako wengi.
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,244
Likes
17,064
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,244 17,064 280
Team Lumumba mmekosa chakufanya? Mmepauka sana maana hata buku2 hampewi tena...
 
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
247
Likes
155
Points
60
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
247 155 60
Halafu mjeuri hata kujipanga tena asahihishe swali lake ili ajibiwe hataki tena.. Sidhani kama alitaka kujua kweli au alikuwa na ajenda nyingine....
 
C

Cybercrime

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
3,203
Likes
533
Points
280
Age
33
C

Cybercrime

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
3,203 533 280
Yuko sero
 
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
1,119
Likes
901
Points
280
Geofrey Maseta

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
1,119 901 280
Yuko nje kwa dhamana
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,346
Likes
2,310
Points
280
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,346 2,310 280
Ni takriban cku 4au5 hivi tangu mmeripotisha hapa jamvin,kwamba kakamatwa m/kiti wenu wa chasso na amepelekwa kusikojulikana.

Hivyo tulitegemea kuendele kupata update kwa kila hatua lakin cha ajabu mmekaa kimya.

Hata kama amepatikana,vyema pia mkatujuza wana jamvi ili kuondoa maswali mengi yaliyokosa majawabu.

Au ni umaarufu tu mliokuwamnamtafutia?kwamba na yy aonekane mtu maarufu kwa kukamatwa na polisi?

Naomba majibu tafadhali!
Kwani hili jamvi ni la UKAWA?
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,338
Likes
8,186
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,338 8,186 280
Aaa mkuu acha masihala bana,naomba nijibiwe kama nilivyouliza.
Mkuu Mahabusu kusikie tuu.Ukinyimwa Msosi siku 3 mfululizo then siku ya Nne unaletewa msosi umewekwa kwenye Mtondo wa Kinyesio mkuu,Unaliwa kiboga mapema sana.
 

Forum statistics

Threads 1,237,677
Members 475,675
Posts 29,296,999