Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Mtatiwa adabu pamoja na kuweka mgombea mmoja kura zenu zote wanaukawa hazifiki hata robo ya kura za mgombea wa ccm,mnasikitisha sana mnadhani ninyi ndiyo mnafikiri peke yenu kumbe hata wenzenu wanafikra pia wakati ukifika majibu mtayapata tu.

wanafikiri kupitia tume isiyo huru ya uchaguzi.
 
Msivunjike moyo,mwanzo mzuri ni kuunganisha nguvu,hata nyerere alichukizwa na utitiri wa vyama.TUWAOMBEE UKAWA WASIJESAMBARATIKA NJIANI,MBELE KUZURI TUU.HATA TUONGEZA MAJIMBO YA UPINZANI NA KUVUUKA 1/3 YA BUNGE LOTE.TUTAKUWA PAZURI.
 
Kama we ni kijana na unataka kupenya, basi Ukawa ndio chaguo lako. UKAWA sio kama ccm ya kuangalia uzoefu na miaka mingi ya umbulula - wanaangalia kizazi kipya, na sera ya vyama vingi ni ya vijana na sio wazee. Wazee na waganga wa kienyejin chama chao kinajulikana.

Kuhusu kumpata mgombea wa ubunge, kutakua na vikao mahsusi vya kuteua ambavyo vitakua na viashiria vya kiyansi kabisa bila kumwangali mtu anatoka chama gani cha upinzania na ana uzoefu gani. Viashiria hivo kwa sasa ni siri ua Ukawa. Ila vipo , we ondoe woga ndugu yangu.
najua kuliko unavyofikilia, nimekuwa mwanachama mtiifu ktk chama kinachofanya vizuri kwenye upinzani, lakini lipo tatizo tena kubwa, umejibu kirahisi sana, mimi nafanya siasa,nimefanya siasa, swala la kuweka mgombea mmoja kwenye ubunge HALITAWEZEKANA, NA LIKIWEZEKANA LITAIBUA MATATIZO MAKUBWA. upo utaniambia
 
Wana Jf kuuliza sio ujinga bali ni kutaka kujua. Hivi nene "UKAWA" unamaanisha nini kwa kirefu? Naomba kujua please!
 
tatizo ni wakati wa kusimamisha mgombea kilammoja atataka asimame yeye hapo ndio utakuwa mwisho wa habari
 
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015

- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimbo

- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!

- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili

- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.

- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.

- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!

.. ni jambo la sekondari kama sio la msingi, nani atasimama kati ya hawa? Mbatia,lipumba,mboe,slaa wote hawa ni ni waroho wa madaraka alafu kitu kingine wangemtoa mbatia na marando kwanza ndo wakaendelea hawa ni vibaraka na kila mtu anajua,wasipofanya hivyo hakuna muungano hapo
 
Nilidhani UKAWA inalinda maslahi ya wananchi juu ya katiba mpya kumbe kimekuwa chama cha siasa.. Am I missing something???
 
Ingawaje cjui lakini nani ambaye hajawahi kuwa mzinzi?, wewe au mimi??. Au hatuijui vema maana ya uzinzi nadhan hyo ni term ya kawaida tu maana uzinzi waanzia kwenye hata matamanio ya macho. Pengne2 unipe event happened lakn kwa general statement kama'ko can't join u hand. Pili ukomboz wa nchi na uzinzi two things different u can see wangapi serikalini wazinzi (wazinifu) but still gvnmnt hainukii uzinifu . They are personal matters. Think great
 
kama taifa linahitaji mabadiliko basi ukawa kaeni chini na mh jaji joseph sinde warioba na muombeni agombee kiti cha uraisi hata kwa awamu moja tu kupitia umoja wa upinzani mnaweza kuja na jina la chnc nikimaanisha chadema, nccr na cuf. Bila shaka nchi itazizima na tutapata kiongozi aliye imara na anayejiamini.

Umri sio tatizo
kwa sasa sioni mtu wa kumsimamisha labda labda mchukue mtu kutoka chama tawala mfano magufuri, mkapa au lipumba mkishindwa kabisa apewe dr slaa
naomba sana wana ukawa - kama kweli mnania ya kutusaidia sisi watz.

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom