Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

kila siku ninasema hila za ccm ndizo zitakazokitoa madarakani ,hila waliyoifanya kwenye bunge la katiba ndilo limewapa nguvu upinzani wa kuungana na hili ni pigo kubwa kwa ccm.gogo la shamba mtamkubali tu,
 
Ha ha ha ha Mbowe atasema ni yeye lipumba Mtikila hapo ndiyo ile lugha ya uliberal itaanzia tena nawatagawana mbao
 
pia kwenye ubunge vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja sehemu ambapo chama kinakubalika mfano kigoma nccr.mwanza chadema na lindi mtwara na lengo ni kuitoa ccm marakani. my take.ccm mwisho wao hatimaye umefika source.mwananchi
Arusha Chadema jashoo!!!!!!! litawatoka
 
Hapa magamba presha juu! nawasihi upinzani wavae vazi la uzalendo kutetea wanyonge wa nchi hii. Unafiki na vigeugeu waweke pembeni wamsimamishe Prof Lipumba kugombea urais tumalize harakati za kuyatoa mainterahamwe!
 
Vyama vya upinzani ukiondoa CDM inamamluki wa CCM na wanajulikana! Good Move ila isije ikatokea kama ya kule Tarime ambapo vyama vya upinzani vilikubaliana kumsimamisha mgombea wa CDM lakini mwisho wa siku kila chama kilimsimamisha mgombea wake! ...Naamini Lipumba ni presidential material kwa JMT na Maalim atafaa kuongoza SMZ, Mbowe atafaa kuongoza Tanzania bara... Nawatakia kila la kheri UKAWA!...
 
Naona CDm hali ni mbaya, mpaka wanaanza kuazima wachezaji.

Mazee Siasa haihitaji ushabiki. Ningependa itokee Organ moja isiyojulikana iweze ratibu huu ujinga, Raisi wa nchi anatakiwa awe ameandaliwa sio kukurupuka tu. Tatizo hatuna mfumo kwa sasa ilitakiwa vibaki vyma si zaidi ya viatau vyote viwe vinaratibiwa na hiyo organ. i wish ningepeta chance ya kuratibu hayo viongozi wote kuanzia wa CDM, CUF nk wote wangekuwa member wa hiyo organ.
 
Tunataka tuwapime kwanza kwenye hili la katiba kama mtaweza,,,uchaguzi bado sana shughulikrni na katiba kwanza tuone kazi yenu, either isipatikane au ipatikane ya wananchi na c ya ccm
kina mboe wameshakata tamaa,ndo maana alisema si lazima katiba ipatikane mwaka huu,wakati wanaenda bungeni hawakutarajia kupambana na mziki mzito humo bugeni,walijua watadominate bunge lakini mambo yalivyoanza ya akina ummy mwalimu&Company ukawa wakajikuta wamepoteana,hakuna cha halima mdee,easter matiko wala j mnyika,walifunikwa wala hawakuonekana tena.
 
ukawa umeamua kusimamisha mgombea mmoja wa urais na ubunge uchaguzi ujao.ni gazeti la mwananchi la leo

Kwa katiba hii tuliyo nayo, kwa tume hii ya uchaguzi tuliyo nayo sidhani na wala sioni njia yoyote ile ya kuwang'oa magamba madarakani. UKAWA badala ya kuanza ndoto za ubunge na urais wapambane kwanza ndani na nje ya bunge ipatikane katiba nzuri na tume huru ya uchaguzi!ndio mikakati ya uchaguzi ifuate!
 
Back
Top Bottom