Ni official au ndo zile zile tetesi
wamepanic hawa ngoja tusubiri nini kitatokea
asanteni sana makamanda kwa taharifa ila umeme wamesha uchukua,
Lowasa ndio Rais
UKAWA Wataitisha mkutano na wanabari leo saa 8 mchana na utarushwa live na ITV.
======
Habari za leo, uongozi wa Ukawa utakuwa na Mkutano na Wahariri leo saa 08:00 mchana Bahari Beach Hotel, kuzungumzia masuala makubwa kuhusu uchaguzi. Tafadhali fika bila kukosa.
asanteni sana makamanda kwa taharifa ila umeme wamesha uchukua,