Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,517
- 272,220
huu mtaa ndio chimbuko la mashangingi wote nchi hii .Mkuu huo mtaa ni noma nini?
huu mtaa ndio chimbuko la mashangingi wote nchi hii .Mkuu huo mtaa ni noma nini?
hivi unaanzaje kuwaamini wanaccm ? utakuwa na roho ngumu sana !Watanzania sasa tupunguze UBINAFSI mimi nauona umeenea kwa kila mtu, watu hatuaminiani kabisaaaaa!
Asanteni
Kama wana fani zao watoke bungeni warudi kwenye fani zao....hivi Mnyika,Kubenea,lema na Profesa J wana fani gani?Ni aina ya uandishi lakini nafikiri mleta mada umekosea sana! Hujui kwanini wamegomea lakini umejaribu kuingiza fikra zako za ufitini kati yao kwa muundo wa maswali "je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji ? Athari ya muundo huu ni kuwafanya watu wajadili zaidi fikra zako ambazo kimsingi sio njema kuliko kutaka kupata uhalisia wa jambo lenyewe. Niungane nawe kuwashangaa wabunge wa UKAWA kama kweli wote walichagua kamati ya PAC!!! Hivi hata Lisu, Mdee au Mnyika waliomba kuwa katika kamati ya PAC??? Nimshangae pia spika kama amempanga Mnyika au Lisu kwa mfano kwenye kamati ya maendeleo ya jamii kwa kuwa wanafani zao; hivyo naungana na wabunge wa UKAWA kugomea uteuzi huo kwa sababu kukosea kwao kuchagua hakuhalalishi au mpa mamlaka spika ya kuwapangia wabunge kiholela bila kufuata taaluma zao au weledi wao.
Prof J , Sugu fani zao usanii sijui kuna kamati ya hiyoKama wana fani zao watoke bungeni warudi kwenye fani zao....hivi Mnyika,Kubenea,lema na Profesa J wana fani gani?
wanataka kamati za kutaka kupewa rushwa kwa vizingizio vya kuopoa eti uozo katika taasisi hizoInashangaza sana kuona wabunge wetu tunaowaamini wa ukawa Jana kugoma kuingia ktk kamati walizoteuliwa kwa kudai kuwa sizo walizozitaraji,cha kuchekesha zaidi Mh kubenea baada ya kuona amepangwa ktk huduma za jamii akakasirika na kusikika akisema haiwezekani apangwe huko,kubenea alitarajia atapangwa PAC kitu ambacho kimemkasirisha sana hiyo jana,cha kujiuliza tu kwanini ukawa wagome?
Walijipangia nini ktk nia zao?kwa sheria za bunge PAC lazima iongozwe na mpinzani,je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji?kwanini kina kubenea na wenzao wasiwaamini wabunge wao?
Sio bure ukawa walikuwa na nia ovu,hakuna hata mbunge mmoja aliejaza kamati alioitaka kisha akapangwa huko,safari hii ni tafauti kabisa,na ukawa takriban wote hakuna aliejaza kamati nyengine zaidi ya PAC na maliasili na utalii,nishati na madini.
Poleni sana kwa kukosa ulaji mlioutarajia pigeni kazi tumewachagua mkatuwakilishe,na mwaka huu mkigoma mara tatu tu unafutiwa ubunge.
Nawaunga mkono wabunge wote wa UKAWA kwa hatua hiyo.
Haiwezekani kamati ya PAC kwa mfano spika amejaza wabunge wa CCM kibao.
Kama sio makusudi ni nini??
Wakati huo huo kamati ya kilimo, mifugo na uvuvi ndo amejaza wabunge wa upinzani.
Kwenye hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?Nawaunga mkono wabunge wote wa UKAWA kwa hatua hiyo.
Haiwezekani kamati ya PAC kwa mfano spika amejaza wabunge wa CCM kibao.
Kama sio makusudi ni nini??
Wakati huo huo kamati ya kilimo, mifugo na uvuvi ndo amejaza wabunge wa upinzani.
[QUOTE="bdo, post: 15154951, member: umenielewa.e hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?Ndicho walichobakiza kugoma kugoma kugoma , itachukua muda mrefu sana wapinzani kuaminiwa na kupewa nchi. Wamekubuhu kwa Unafiki pumbavu sana[/QUOTE
U]
Tatizo nini sasa hapo?
kumbe kuna wabunge dhaifu upinzani tulikuwa hatujui. !! ni ajabu na kweli. sasa kwa nini wananchi waliwachagua? ? napendekeza wajiuzuru kama wanakubali wao ni dhaifu kwa hiyo ni mizigoK
Kama mlipanga kuwaburuza sasa mtakiona cha mtemakuni nyie ccccccccm, kama mlijipangia kivyenu na kuweka wadhaifu ili mambo yenu yasonge mbele kilaini huu si wakati wake. tunataka usawa na si vinginevyo. Bunge ni la wooote si lenu na marafiki zenu
kuna ulaji mzee kwani hujui ? jamaa wanataka wapige hela mpaka kielewekeHivi huko PAC sijui maliasili na utalii, nishati na madini kuna nini hadi kila mbunge atake kupangwa huko?
Nimeipenda comment yako!Kwenye hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?
Kilimo na mifugo ndio uti wa mgongo wa taifa - kupitia wapinzani tunataka kuona mifugo, kilimo na uvuvi vinatutoa, kamati zingine majungu na unafiki tu.