John Heche na kamati za bunge

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
51,159
40,095
Wanaukumbi.

John Heche,

Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.
 
Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu ni......?.

Hawa sindio waliokuwa hawataki Zzk apangwe kamati hizo wanazozililia wao?.

Kati ya wabunge hao wanao wakubali wao kuna hata mmoja wao anafikia angarau nusu ya Zzk.

Wabunge ilipaswa wapangwe kwenye kamati kulingana na taaruma zao,lakini wahenga wanasema vita ya panzi furaha ya .......?.

Kwa mwendo huu wa upinzani njaa uliopo Tz ccm itatutawala tena miaka 50 ijayo kama wapinzani hawatobadilika.Waache kutanguliza maslahi ya vvyama mbele badala yake watangulize taifa kwanza.
 
Wafanyeje na mpangaji wa kamati ni Ndugai ?
 
ZZK ni mtu moja angepangwa kamati ngapi ?
 
Kwani wengine si wabunge?? Au ndo waliopatikana kwa magumashi.

Siku nyingine hamatapeleka majina kwa upendeleo.
 
Ndugai anaepusha asije kuwachapa bakora, kwa hiyo ana lengo zuri la kuwaokoa wabunge wa upinzani wasitandikwe bakora
 
Ndugai aliachwa awe speaker kwa kuwa walijua kutakua na uchaguzi mwingine wa spika.
 
Sijawahi kuamini na siamini kwamba shughuli mjengoni zitaongozwa vizuri. Hakika zitasheheni fukuza fukuza nyingi.
Kiongozi wa taasisi hasa zenye mijadala katika zama hizi anapaswa kujiamini,kuheshimika naye kuwa na heshima,kujua kuongoza situationally,kusikiliza hoja hasa zilizotofauti nazake,mwenye utulivu wa nje na ndani(asiyepanic),mkweli na muwazi,mwenyekauli thabiti nk.
....sioni
Kiongoz asiyefaa hujaa kutojiamini,kisirani na jeuri,ubabe na vitisho,dharau na kauli tata,misifa na matani,hila na umakini hafifu nk
.... naona
 
Wanaukumbi.

Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.
Leo imekula maharage ya wapi???Wamasahau nyakati hi ni za HAPAKATU siyo zile za Maisha Bora kwa kila Mtanzania mwenye undugu na Mwenyekiti.

Hongera Ritz ila Wanachama wenzako watakuponda mawe??
 
Wanaukumbi.

Upangaji wa kamati za bunge umelenga kufanya bunge kuwa chombo kinachosimamiwa na serikali badala ya bunge kuisimamia serikali. kamati ya PAC ambayo kanuni inasema itaongozwa na upinzani wamewekwa ukawa 6 ccm 17 kamati ya Ukimwi ukawa 11 ccm 12, ukiangalia kamati ya LAAC ambayo ni kamati ya hesabu za serikali za mitaa ccm 16 ukawa 6 itakumbukwa pia kwa mujibu wa kanuni kamati hii inaongzwa na upinzani. Hivyo hivyo kwenye kamati ya bajeti na kwingine, wabunge wengi wenye uzoefu na uwezo wameondolewa kwenye kamati ambazo wangepangwa wangesaidia nchi. Kama wewe ni msafi na unataka nchi iende mbele kwa kauli zako za HAPA KAZI TU kwanini unataka kunyamazisha bunge ambacho ni chombo cha wananchi! Kuna mambo mengi sana yanataka kufichwa hapa. Ikumbukwe pia kwamba mambo mengi ya bunge yanaishia kwenye kamati yanayooneka kwenye Bunge la wazi ni kidogo sana.
Haki ya Mungu akaunt ya Ritz imeingiliwa!!!! Wewe ndiyo wa kuandika hivi wewe!
 
Na wewe tuondolee ujinga hapa, Zitto ni nani bwana! Unataka kutuambia hako kajitu kako tungekagawa vipande ili kawe PAC na LAAC? Huu ni mkakati maalum wa serekali ya Magufuli kunyamazisha bunge! Hivi unafikri hata zitto angepangwa huko angefurukuta? Watu 6 kwa 16 utapitisha hoja gani hapo?
Ha ha ha.
Zitto kawashika pabaya makamanda.
Ukimtaja tu wote presha elfu sita.
 
ZZK na Kina Mbowe wangekubali kamaliza tofaut zao wangefanya vizuri zaid ila ubinafsi wao ni faida kwa chama
 
Back
Top Bottom