UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

Hawatafanikiwa na wanafahamu hawatafanikiwa!.

Bunge Maalum la Katiba lina kinga kisheria za kuzuia kuhojiwa na chombo chochote kuhusu lolote linalofanyika/lililofanyika ndani ya bunge.

Hawa wanatafuta sifa ambazo hazipo.
 
Move nzuri kudai haki kwa namna hii na si kwa maandamano au kususa...
 
Hii ni akili ndogo, unafiki au zezeta?, binadamu aliye huru kimawazo hawezi kutoa mchango kama huu!
We are all slaves untill every man is free, esp in tanganyika!
Sijaelewa unamzungumzia nani lakini nimevutiwa na hapo nilipo-bold!
 
tuwe wakweli " HAMNA KESI HAPO" labda kama mleta mada hajalipata vizuri shauri linalofunguliwa....mbona hii iko wazi katika sheria ya mabadiriko ya katiba

Mbona hueleweki? fafanua nini kiko wazi??
 
ukawa baada ya kunyimwa posho wanahangaika sana

Akili mgando.Unawaza posho tu! enhee niambie baada ya UKAWA kutoka nje hao mabwana zako wamefanya nini cha maana kitakachowafanya wakioneshe kwa wananchi.
ACHA KUWA MTUMWA WA FIKRA
 
hivi hakuna yeyote anayetakiwa kukamatwa kwa ukiukwaji wa kanuni za kujadili rasimu ?
 
Akili mgando.Unawaza posho tu! enhee niambie baada ya UKAWA kutoka nje hao mabwana zako wamefanya nini cha maana kitakachowafanya wakioneshe kwa wananchi.
ACHA KUWA MTUMWA WA FIKRA

mkuu usihangaike na huyo jamaa , hana lolote !
 
Kifungu gani hicho kinasema "kuboresha?"

Mkuu Buchanan inawezekana ulipewa umod bila kuzisoma sheria za Jf, Ulipoaza kuboronga wenzio wakakutimua

Any way kila mtu hapa anajua kua kifungu cha sheria kinachosema KUBORESHA kipo sema tu sina kitabu cha sheria husika ningekuwekea hapa hata hivyo naamini kuna baadhi ya watu waliobahatika kusoma sheria hiyo na wamekariri kifungu hicho wanaweza kutusaidia

Tatizo lenu ninyi watu wa ccm huwa mnaangalia nani kasema nini kama ni mtu aliyetofauti ni misimamo yenu hamuamini, sijui hii tabia mmeitoa wapi.
Hatahivyo naomba umsikilize SONGOKA hapo juu ambae naamini mnafanana kimitizamo yeye anakiri kwamba kifungu kinachosema KUBORESHA kipo.. Bila shaka unaweza kuamini na tumwombe kama amekariri kifungu husika atuwekee hapa.

BACK TANGANYIKA
 
Hapa Mabere, Prof.Safari, Twaha, na kiongozi Mch.Mtikila haponi mtu................haaaa, haaaa, Kikwete utakoma kushauriwa vibaya
 
Mkuu Daviey, kunatatizo la watu ambao wana bwabwaja maneno waliyo karirishwa kwa shinikizo la matakwa ya chama cha mapinduzi. Hawa tumii uhuru wao binafsi wa kuchanganua mambo. Watanzania wengi sasa wanafahamu vizuri ubora wa mapendekezo ya tume ya jaji warioba na pia wanafahamu uzalendo wa hali ya juu uliooneshwa na ukawa katika kutetea maslahi ya taifa; halafu ana kuja kibaraka wa ccm anabeza hatua inayochukuliwa na ukawa.
 
Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize

Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.

Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,

Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.

BACK TANGANYIKA

Ha ha ha! Hiyo ni kweli tupu mdau! Kamishna polepole anajua aisee! Kwa maneno yake mwenyewe Kamishna Polepole anadai yeye ni mara yake ya kwanza kuandika katiba na amepata uekewa mkubwa sana, kwa kuwa walifanyakazi ile kama team, wakafafanuliwa pale walipokosa kuelewa, mwishowe kila Mjumbe akatoka na Elimu kubwa ya Uandikaji wa katiba, tafsiri pana ya kila kifungu ndani ya Rasimu na mambo mengi ya Kikatiba!
 
Hawatafanikiwa na wanafahamu hawatafanikiwa!.

Bunge Maalum la Katiba lina kinga kisheria za kuzuia kuhojiwa na chombo chochote kuhusu lolote linalofanyika/lililofanyika ndani ya bunge.

Hawa wanatafuta sifa ambazo hazipo.
-Akili ndogo hizi ni aibu kweli kweli,
 
I'm afraid hoja hii haijakaa vizuri na nirahisi sana kujibiwa kisiasa. BMK linauwezo wa kuongeza ama kupunguza yaliyoko kwenye Rasimu kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wa Tanzania...
Lakini sio kuondoa msingi mkuu uliojenga rasimu nzima, ambayo ni muundo wa serikali..
 
kwani kuboresha maana yake ni nini?

Daaah! ndugu pole sana kama pamoja na kutoa ufafanuzi wote huo kuhusu hicho unacho uliza lakini wewe bado hujanielewa nampa pole sana mwalimu wako inaonekana alipata kazi ngumu sana kukufundisha hasa yule wa darasa la kwanza.

Mtu kama wewe akakufundishe a,e,I,o,u then ba,ma,ka,da,pa,nk halafu aje akufundishe kuunganisha maneno then kutunga sentesi hakika haikuwa kazi ndogo pole yake!!

BACK TANGANYIKA
 
Daaah! ndugu pole sana kama pamoja na kutoa ufafanuzi wote huo kuhusu hicho unacho uliza lakini wewe bado hujanielewa nampa pole sana mwalimu wako inaonekana alipata kazi ngumu sana kukufundisha hasa yule wa darasa la kwanza.

Mtu kama wewe akakufundishe a,e,I,o,u then ba,ma,ka,da,pa,nk halafu aje akufundishe kuunganisha maneno then kutunga sentesi hakika haikuwa kazi ndogo pole yake!!

BACK TANGANYIKA
haya bana,wewe jipe moyo tu.
 
Back
Top Bottom