UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

UKAWA kufungua kesi mahakamani leo

I'm afraid hoja hii haijakaa vizuri na nirahisi sana kujibiwa kisiasa. BMK linauwezo wa kuongeza ama kupunguza yaliyoko kwenye Rasimu kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wa Tanzania...
-Ni rahisi kuamini hvyo lakini kisheria ni ngumu mkuu,
 
Wakuu katika kuonyesha dhamira ya dhati kuelekea upatikanaji wa katiba ya Wananchi,Mapema leo Mawakili wa Umoja wa katiba ya Wananchi wakiongozi na Wakili msomi Twaha Taslima watafungua kesi ya kikatiba katika mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutaka Tafsiri ya kisheria kuhusiana na Bunge maalum la katiba kujadili mambo yaliyo nje ya rasimu ya katiba.

-My take,Huu ni mwanzo mzuri hasa kuzingatia mbinu za CCM kupindua msingi wa rasimu ambyo msingi wake ni maonh ya wananchi.

tuwe wakweli " HAMNA KESI HAPO" labda kama mleta mada hajalipata vizuri shauri linalofunguliwa....mbona hii iko wazi katika sheria ya mabadiriko ya katiba
 
-Tulia dawa ikuingie,
 
Mkuu kwako wewe unauona ni mwanzo mzuri sijui kwa vigezo gani.
 
I'm afraid hoja hii haijakaa vizuri na nirahisi sana kujibiwa kisiasa. BMK linauwezo wa kuongeza ama kupunguza yaliyoko kwenye Rasimu kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wa Tanzania...

Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize

Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.

Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,

Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.

BACK TANGANYIKA
 
-Tulia dawa ikuingie,

wow..come down young man. Nimetoa angalizo tu, sababu kuna kipengele kinachotoa "mamlaka ya kuboresha kwa kupunguza au kuongeza" kwa BMK.

i dont fancy any part here, including yours
 
-Unatumia kigezo gani kuniita young Man'
 
Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize

Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.

Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,

Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.

BACK TANGANYIKA
-Mkuu pamoja sana watatuelewa tu,
 
Sasa ndo umechangia nini? Maccm akili zenu ni ndogo sana kuliko za sisimizi
 
Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize

Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.

Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,

Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.

BACK TANGANYIKA
kwani kuboresha maana yake ni nini?
 
kumbe kazi ni kuboresha nyumba? na wameanza na madirisha.

Nyumba yenyewe inamadirisha matatu na mlango mmoja, kama wameanza kuboreha kwa kupunguza dirisha nadhani wanapoelekea ni kuziba na mlango.
 
Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize

Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.

Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,

Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.

BACK TANGANYIKA

Kifungu gani hicho kinasema "kuboresha?"
 
tuwe wakweli " HAMNA KESI HAPO" labda kama mleta mada hajalipata vizuri shauri linalofunguliwa....mbona hii iko wazi katika sheria ya mabadiriko ya katiba

Hivi unadhani wote wanaovunja sheria huwa hawajui kuwa kunasheria zilizowekwa ili wazifuate, hufanya hivyo tena wengine kwa makusudi kwa kujua udhaifu wa kisheria uliopo

Labda wewe utuambie hapa ni sheria gani ambayo ipo kwenye Sheria za mabadiliko ya Katiba ambayo hata UKAWA wakifungua kesi watashindwa.

Mimi nadhani kuweka tu sheria hakutoshi ndio maana vikawepo vyombo vya kutafsiri sheria husika hivyo tuwaache UKAWA watimize wajibu wao kwa jambo lolote linalohusiana na Katiba bila kuwakatisha tamaa

Wacha mahakama ituambie je ccm wako sahihi kujadiri vifungu vilivyo nje na mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Ni Mahakama tu na si chombo kingine kinaweza kututoa ktk utando huu wa maccm.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom