Cc:chadema kwanzaHawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Nina mashaka na uelewa wako na huko kupenda kucheka bila kutekenywaTehetehetehetehe. Hawa UKAWA mabubu? Wameshadharsuliwa na hivyo vyombo vya nje
Hawajaziba bali wamezibwa. Na wote tunajua hilo
Wewe tusha kuzoea kwa kuvuma kama upepo maana huna msimamoWanajua uovu wao kwa jamii zaidi ya wanaopoteza muda mitandaoni kutetea waovu.
nadhani wako sawa. Maana zamani walikuwa na jeuri ya kutetea uzushi juu ya viongozi wa chama.
Kweli kabisa mkuu na huku kupigwa ban kisa unaitetea ukawa kunge punguaLeo hii tulipaswa tuwe na walau CHADEMAFORUM,CUFFORUM,NCCRFORUM ,n.k.Haya mambo tumesema sana lakini sijui kikwazo ni nini!
..kuna mdau alitoa hili wazo humu,watu wa cdm wakaja kwa mbwembwe kuwa mipango iko,labda tuendelee kusubiri itakujaTulisema CDM changisha muwe na tv ya kwenu
Waandike matukio gani sasa! Ya kudai div 0 na IV wapate digrii or?Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Wamezibwa vipi, Wakati hizo plasta wamenunua wenyewe na kujibandika wenyewe?Hawajaziba bali wamezibwa. Na wote tunajua hilo
..kuna mdau alitoa hili wazo humu,watu wa cdm wakaja kwa mbwembwe kuwa mipango iko,labda tuendelee kusubiri itakuja
Hiki kitengo mafuriko yalipoisha na chenyewe kikatoweka.Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
...hawa jamaa wameshindwa hata kuendeleza ile apps yao..hawana accounts ya uhakika ktk social media ambayo kwa bongo inakua sana,hawana hata Youtube Channel kwa ajiri ya kupandisha clip zao,ila TUSUBIRINakumbuka sana many conglatulated cdm for that idea. Sijui ilifia wapi. Ikiibidi wafanye ziara kama ya maalim. Kuzunguka dunia excluding Africa, China and Russia
...hawa jamaa wameshindwa hata kuendeleza ile apps yao..hawana accounts ya uhakika ktk social media ambayo kwa bongo inakua sana,hawana hata Youtube Channel kwa ajiri ya kupandisha clip zao,ila TUSUBIRI
Unaitaja UKAWA ipi ya Tz ambayo imeziba midomo yake? Wataongeaje na media wakati arobaini ya kutolewa nyizi midomo yao haijafika? Au unaongea na UKAWA Wanaojiona wanyonge na kuona wanadharirishwa na naibu spika mwanamke? Ni wale wasiotofautisha usiku na mchana? Ongea nao labda wewe watakusikiliza mjomba!
Katika UKAWA hakuna wa kuchukua ushauri wa mtu aliyeshindwa , mamluki na Msaliti kama kitila .Safi sana Kitila
a
Waandike matukio gani sasa! Ya kudai div 0 na IV wapate digrii or?
Tatizo hoja za kupeleka kwa wananchi hamna. Mbona humu JF mmejaa tele na mnalindwa kiasi cha kutukana watu kuchafua watu na hairuhusiwi kujibiwa kwa matusi. Uchaguzi wa mwaka jana ulibeba hoja zenu zote na nyie kubaki mnazunguusha mikono na vichwa sasa mmebaki makapi.Kwa vile sisi sio ccm, hatuna mambo ya huyu ni mwenzetu katika kutotimiza wajibu.
Tunahitaji majibu tujue nini ni tatizo, maana kama ni manpower mbona hata wa kujitolea wapo? Jee ni funds? Zitapatikana miongoni mwetu. Wapinzani sio masikini wa kipato, wengi ni watu wenye shughuli zao na hawakuzoea kukinga mkono kupokea kama hawa Vijana wa Lumumba
Tatizo hoja za kupeleka kwa wananchi hamna. Mbona humu JF mmejaa tele na mnalindwa kiasi cha kutukana watu kuchafua watu na hairuhusiwi kujibiwa kwa matusi. Uchaguzi wa mwaka jana ulibeba hoja zenu zote na nyie kubaki mnazunguusha mikono na vichwa sasa mmebaki makapi.
Hata wakikuruhusu kupeleka utumbo wenu BBC DW na CNN utapeleka nini? Utamnukuu kubenea kuwa chadema wagoma kutoa penzi kwa ccm. Au utasema tumemgomea NS na sasa hataki kuachia wenyeviti.