Unaitaja UKAWA ipi ya Tz ambayo imeziba midomo yake? Wataongeaje na media wakati arobaini ya kutolewa nyizi midomo yao haijafika? Au unaongea na UKAWA Wanaojiona wanyonge na kuona wanadharirishwa na naibu spika mwanamke? Ni wale wasiotofautisha usiku na mchana? Ongea nao labda wewe watakusikiliza mjomba!Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
aUnaitaja UKAWA ipi ya Tz ambayo imeziba midomo yake? Wataongeaje na media wakati arobaini ya kutolewa nyizi midomo yao haijafika? Au unaongea na UKAWA Wanaojiona wanyonge na kuona wanadharirishwa na naibu spika mwanamke? Ni wale wasiotofautisha usiku na mchana? Ongea nao labda wewe watakusikiliza mjomba!
Maalim Seif anahit the targets.Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Mwanahabari huru umesikia ?Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Maalim Seif ni Jabali hasa .Maalim Seif anahit the targets.
Kwa vile sisi sio ccm, hatuna mambo ya huyu ni mwenzetu katika kutotimiza wajibu.Leo hii tulipaswa tuwe na walau CHADEMAFORUM,CUFFORUM,NCCRFORUM ,n.k.Haya mambo tumesema sana lakini sijui kikwazo ni nini!
Hivi Chadema kama wanashindwa kuwa na headquarters ya kisasa bado wameng'ang'ana kwenye kile kibanda cha pale Ufipa ndio wataweza kuorganise big things?Kwa habari za upinzani nchi nyingi za Afrika bila ya msaada wa vyombo vya habari vya nje ni kazi ngumu sana kuekeweka. Hata kule Sudan kusini yanayotokea ni msaada mkubwa wa habari zao kuandikwa na kutangazwa nje zaidi.
Namsifu sana msanii GADO anajaribu kutumia sanaa yake ya uchoraji huko nje kuonyesha nini kinaendelea mpaka huku ndani wanalalamika.
Hawako active hata kidogo, mnajua kuwa Radio, TV na magazeti mengi nchi hii ambavyo ndio vyombo vya kufikishia habari ya nini kinaendelea haviko huru kwa woga au kwa kujipendekeza ili wapate matangazo ya biashara kuendeshea vyombo vyao.
Cha kushangaza matukio yao wanashindwa kuhakikisha waandishi wa vyombo vya nje waliopo hawashirikishwi. Vyombo kama CNN, BBC, ALJAZEERA, REUTERS, SABC nk hivyo matukio mengi hayafahamiki nje ya nchi na wao kudhani mambo ni poa sana kama ikivyokuwa zamani.
Hata hapa ndani, mumeshindwa kuandaa vipindi hata vya kulipia katika TV venye maudhui ya kujitangaza dhamira na nini kinaendelea.
Wakati umefika muamke ili msije kuwalaza na wengine au ongezeni nguvu vitengo vyenu vya habari. Na kila tukio hakikisheni mnawawezesha waandishi wa vyonbo vya nje wahudhurie sio kuwajaza wa Uhuru ambao mnajua badala ya kujenga wataleta damage
Nadhani hizo ni fikra tuu. Mpaka hapa Chadema ilipofikia sio kazi ndogo hasa kwa mazingira ya kisiasa yalivyo.Hivi Chadema kama wanashindwa kuwa na headquarters ya kisasa bado wameng'ang'ana kwenye kile kibanda cha pale Ufipa ndio wataweza kuorganise big things?
Chadema hii inayotegemea nguvu na akili binafsi za Mbowe ni ngumu kuenenda kama unavyofikiri wewe, muombeeni Mbowe afya njema ndio mtu mwenye vision pana ninayemuona mimi kwenye hicho chama.