Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,982
Kila ninapokiwaza Kikundi hiki haramu cha UKAWA nashindwa kukimaliza! Kinapinga Muungano eti kwa kuwa ni "BATILI!" Tukikiangalia kikundi chenyewe kama kinafuata Sheria nako tunaona ndio wavunja Sheria wakubwa kwa kuunda Kikundi BATILI/HARAMU kwa kuwa hakijasajiliwa!
Sasa huo ujasiri wa kuwanyooshea vidole wengine unatoka wapi?
Kingine kinachonishangaza wananchi wamewatuma, kama wanavyojinadi wao kuwa, kuwawakilisha katika Bunge Maalum la Katiba. Badala ya kutunga Katiba wanakimbilia tena kwenda kuonesha sura huko kwa wananchi huku wakijua kuwa muda wa wananchi kutoa maoni umekwisha na wanachosubiri tu ni referendum!
Ushauri wangu kwa UKAWA ni kukivunja au kukisajili kikundi chenu, kisha mkubali kwamba Muungano ni HALALI, kisha mrudi BUNGENI.
Bila ku-declare kuwa Muungano ni HALALI mtasababisha yote mnayoyafanya Bungeni kuwa ni HARAMU kwa kuwa yameanzishwa na Serikali ya Muungano!
Nawasilisha!