UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.

Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.

Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.

Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.

Source:Sauti Huru.
 
namsikitikia sana MWIGAMBA , ameamua kujishusha kwa kila njia ! Ama kwa hakika laana ya usaliti ni hatari sana !
 
tehe! kaongea usiku huu eeh? haya bwana we eendelea tu ila mwisho wa ubaya....!
 
Kamsalit bimkubwa wake au nani mpaka apate hiyo laana,mbona mnavihusudu vyama kuliko hata wazazi wenu?
namsikitikia sana MWIGAMBA , ameamua kujishusha kwa kila njia ! Ama kwa hakika laana ya usaliti ni hatari sana !
 
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.
 
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.

Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.

Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.

Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.

Source:Sauti Huru.
Kweli ACT ni CCM nyingine.
 
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.:israel::suspicious:
 
Kwa hiyo wao wamekuja kushindana na wapinzani?
Mbona kazi ipo mwaka huu. ....

tehe! kuna watu walidhani ACT, itakuwa inafanya uhasama, sasa wameona ACT tulii! wameamua waanze chokochoko.Yangu macho! Ila mwisho wa ubaya....!
 
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.

Haya pambana! Ila mwisho wa ubaya.....
 
Kumbe ACT imekuja kuua CHADEMA na upinzani kwa ujumla?kwa hiyo sasa tunajua aliyewatuma.
 
Chama cha Yuda hakina Jipya kimepiga hela za Watanzania kimagumashi kwa kuwa CHADEMA YATOSHA ina vuruga cicm wamesajiliwa sasa hazipo watakula u Yuda
 
Back
Top Bottom