UKAWA hawaamini kinachotokea

UKAWA hawaamini kinachotokea

CHADEMA ndio wavurugaji wakuu wa Katiba, hawana nia njema na mchakato huu!

Wanaitumia UKAWA kufanya mambo yao baada ya mbinu zao za awali za kufanya nchi kutotawalika kushindikana!

Nawashauri CUF na NCCR warudi bungeni na kuwaacha hawa mamangi wa CHADEMA wakiendelea kuweweseka, ni dhahiri wamezidiwa nguvu kisiasa ndio maana wakaamua kujipendekeza kwenu ili muwabebe. NCCR na CUF waacheni wahuni wa CHADEMA wafe kivyao!
 
Hakuna ana yeweza kuiamini CCM kwa upuuzi wanaoufanya.Watanzania wengi waliamini kuwa CCM ingekuwa mstari wa mbele kuwatetea wananchi matokeo yake wamekuwa mstari wa mbele kuwasaliti wananchi.UKAWA wataendelea kutokuamini kile kinachoendelea kufanywa na CCM tena kwa kushangaa kama ni kweli haya yanafanywa na CCM.

Asante sn mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri.
Kuna tawala nyingi sn Duniani ambazo hazikuamini kuwa zinapingwa,na zilisubiri mpaka ziangushwe kwa fedheha na umwagaji damu.
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Daladala ya katiba ishaondoka na kuacha ukawa kituoni. Msione aibu kukimbilia kurukia japo mmefunga tai.
 
ni dhahili kuwa ukawa hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda cc ya ccm iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa bmk lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya ukawa kushangilia ushindi wa kulivunja bmk, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu ukawa mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.nawasilisha

tunko ulivyo mzembe wa kufikiri unajua katiba ni ya ukawa na ccm, wote tuliotoa maoni kwenye rasim na kuyaona kwenye rasim tulifurah ila baada ya kufutwa tunalaani vikali ila sio mambo ya uccm na ukawa achen ushabiki,hili ni jambo muhimu sana
 
Si amini kama hivi vijembe ni vya vijana.ujinga mzigo bado mmejikita kwenye iman kuwa katiba ni kwa ajili ya ukawa na ccm,mbona wasomi wetu wengi walishatueleza sana kwenye mijadala ya katiba.mtakufa maskin kwasabab ya ushabiki usio na maana.mtaanza kusema warioba yupo ukawa kwasabab rasim yake imeungwa mkono na ukawa.uvivu wa kufikir ndo maana hoja zetu zinaanza na hitimisho
 
CHADEMA ndio wavurugaji wakuu wa Katiba, hawana nia njema na mchakato huu!

Wanaitumia UKAWA kufanya mambo yao baada ya mbinu zao za awali za kufanya nchi kutotawalika kushindikana!

Nawashauri CUF na NCCR warudi bungeni na kuwaacha hawa mamangi wa CHADEMA wakiendelea kuweweseka, ni dhahiri wamezidiwa nguvu kisiasa ndio maana wakaamua kujipendekeza kwenu ili muwabebe. NCCR na CUF waacheni wahuni wa CHADEMA wafe kivyao!

Hiyo mbinu yako ya divide and rule ni old fashion. Piga msasa ubongo wako; inaonekana una kutu.
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha

Ungempa ushauri huu mamako
 
ikija kwa wananchi tutapiga kura za hapana
 
Waka jadili katiba ipi?
 
Kwani ukawa wapo kwa hisani ya cc ya ccm.
 
Waka jadili katiba ipi?
UKAWA
UMOJA WA KASKAZINI
ninawashangaa sana
kwani ni lazima wao wajadili wakiwa nje ya Bunge?
huwezi jadili vijiweni ukaiendesha Nchi
km wametoka wanyamaze basi, ili Mchakato uendelee kwaniRasimu inabeba itu vingi
Na Nchi itaendelea bila hata ya kutawaliwa na ndoto za UKAWA
 
ikija kwa wananchi tutapiga kura za hapana

umeshndwa k 2010 utaweza hili! watanzania ni waongeaji kwny utekelezaji ziro!! kwa kukudhbitishia hlo wewe mwenyewe hukupiga kura 2010!!
 
uzalendo haupo katika nchi hii, kuna siku wananchi wataamka, kuidai nchi yao. I believe there is a day
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha

Warudi bungeni kufanya nini wakati uwezo wa kutengeneza katiba mnao? Mnao wawakilishi wote mpaka kutoka Pemba na akidi yenu imetimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom