UKAWA hawaamini kinachotokea

Tunko

Senior Member
Dec 24, 2013
181
41
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
 
“Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.” (Martin Luther King Jr.)
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Katika maisha yako utapata sana shida kama kila kukicha unahangaika na mambo yasiokuhusu, wewe sio UKAWA ni magamba kwahiyo fuatilia yanayohusu magamba!
Inawezekana kabisa sisi ni washindi ila mnashindwa tu kukubali, kwanini tuwe main topic kwenye vinywa vyenu kila sekunde?
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha

jJIBU LAKO NI JEPESI TU.. WEWE SUBIRIA NA HUTAAMINI KITAKACHOTOKEA BAADA YA MCHAKATO HUO KUVURUGWA NA CCM
 
Upinzani Tanzania hovyo kabisa! walisema maandamano sasa yako wapi?mwisho utasikia "CCM wameiba kura hatuitambui katiba"
 
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Ndivyo unavyojidanganya na magamba wenzie?!!
 
mimi ninachoshangaa, ni kwa nini ccm wanawabembeleza UKAWA, si waliambia waendelee na katiba yao, kwa nini wanaweweseka?
 
ccm endeleeni na ujinga wenu, tuacheni sie UKAWA tuendelee kutoa elimu mtaani, mtalijua jiji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom