UKAWA/CHADEMA kubali mdahalo na vyama vingine ila haya yafanyike ili kuidhibiti CCM

Sep 14, 2014
92
31
Mpaka sasa UKAWA/CHADEMA wamekaa kimya kuthibitisha ushiliki weo kati mdahalo wa kukata na shoka wa wagombea Urais, sasa nawaomba kubalini japo wao CCM walikula kona 2010.

Wakati wa mdahalo haya yafanyike; Mdahalo ujikite katika masuala ya Taifa na siyo personalities UKAWA wanasema "TIME FOR CHANGES" ni Mabadiliko yapi hasa tunayataka kama Nchi na je tunafanya mabadiliko katika mfumo upi Ubepari, Ujamaa wa kisasa, Ujamaa compelete au Uriberali ni mfumo upi hasa wa kuendesha uchumi wetu?

CCM wanasema "HAPA KAZI TU" wanasema kufufua viwanda je viwanda ni vya serikalia au wawekezaji ambao vitawanyonya wavuja jasho? Na CCM iseme ni mfumo upi watautumia kuendesha uchumi wetu, maana hakuna chama hata kimoja kimeuambia UMMA watatumia mfumo upi! UKAWA kubali tafadhali nawaomba.
 
Back
Top Bottom