Ukatili wa polisi huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatili wa polisi huu hapa

Discussion in 'Jamii Photos' started by TIQO, Sep 17, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Polisi aka njagu wakimpa kibano raia
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vita ni vita muraaaaaaa!
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Tuletee na ile ya raia wanapomvalisha tyre mwenzao na kumchoma moto au wale raia wanaoua albino kwa imani za uchawi au vikongwe kwa kuwa wana macho mekundu kisha tuone nani zaidi kwa ukatili!
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Two wrongs don't make one right! Ni kweli Raia wanafanya ukatili, lakini huwezi ku-justify ukatili wa polisi (wanaofundishwa sheria na kanuni za kazi zao) kwa kuwa raia (wasiojua kanuni na sheria) nao wanafanya ukatili! Na ukatili unaofanywa na raia mara nyingine unasababishwa na polisi hao hao (wanaoletewa wahalifu kukiwa na ushahidi halafu wao wanapokea kitu kidogo toka kwa wahalifu na kuwaachia wahalifu waendelee kuranda randa mitaani na kuendeleza uhalifu wao).
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wale wanaoua albino na wengineo ni wahalifu kama wahalifu wengine,wakati polisi ni watunza usalama na jukumu lao ni kuzuia uhalifu usa hivyo hatuwezi kuwafananisha.halafu kuna vitu vingine humu tunavisapoti na kuvichukulia kirahisi sababu havijawahi kutukuta.
   
 6. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160

  Is this a full argument or phool's argument????

  Sasa polisi si ndo wamekwa ili kuzuia huo upotovu wa wananchi......sasa kumbe ni mashindano....kazi ni kubwa bado tena saaaana
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Akili ingekuwa inagawiwa ningekupunguzia yakwangu kidogo. Hivi raia wanaua kwa sababu gani? Unajua? Je raia wamejifunza maadili ya kulindana kwenye chuo kipi? Vyovyote vile kumtoa mtu uhai wakati umesomea kumlinda ni ukatili wa hali ya juu. na ata kama hujasomea kumlinda ni ukatili vilevile!!!
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa hua naona kama vile hawanazo, thanks God nilikosa nafasi ya kwenda huko
   
 9. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wewe kama kweli huo ndio uwezo wako wa kufikiri ni lazima utakuwa ni mmoja waoSamahani kama nitakuwa ninakukosea lkn kwa akili hizi ninaamini hushindwi kufanya wanayoyafanya askari wetu. Ptuuuuuuuuu
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Hebu check hapo
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Afadhali wewe ulikosa nafasi,mimi mama mzazi aliniambia nikisikia wewe umekuwa Polisi nakuachia Laana...
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Polisi wana roho mbaya na si za kibinadamu
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Hili genge ni hatari haswa!!naliogopa kuliko jambazi yeyote,yaani nikiambiwa kuwa huku kuna polisi na huku kuna jambazi ntachagua kupita njia yenye majambazi kuliko hao jamaa!!jambazi wanapora mali ila hawa wanapora uhai.
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ilete wewe kwani umekatazwa?
   
Loading...