Ukatili, Unafiki wa Polisi Wanaotetea Wahuni, this ain’t Justice

Ukatili, Unafiki wa Polisi Wanaotetea Wahuni, this ain’t Justice

Joined
Dec 18, 2023
Posts
15
Reaction score
31
Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku mkiwakingia kifua criminals? That’s some straight-up b*tch move.

Kwa msingi wa Katiba ya JMT Ibara ya 12(1) na 13(6)(d), kila mtu ana haki ya kulindwa dhidi ya mateso na inhuman treatment. Lakini nyie mna-act kama sh*t don’t matter. Hii sio rule of law, hii ni state-sponsored thuggery.

Na kama msomi wa psychology of power abuse, nawaambia hii mnaifanya ni textbook authoritarian fckery*: kutumia taasisi za usalama ku-protect wahalifu na ku-terrorize watu wasio na hatia. You’re literally weaponizing the police to play gangster politics.

Listen, huku Marekani hatuna utamaduni wa kisenge kiasi hiki. Even real gangsters know the fcking code — you don’t fck over the innocent to protect a snitch or a crooked homie. But nyie mna-pretend ni law enforcement wakati ni damn street bullies with badges.

Kihistoria, taifa lolote linaloruhusu polisi na viongozi kuwa accomplices wa uhalifu, hujikuta likipoteza public trust na kuvunja msingi wa social contract. Na nikuhakikishieni — hii sh*t mnayofanya haidumu. Accountability is coming, whether you like it or not.
 
Back
Top Bottom