Ukatili tena:Hausigeli achomwa na pasi na kung'atwa na meno kwa mwaka mzima.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Anaitwa Yusta Lukasi (21)mzaliwa wa Tabora.

Dada wa watu ana makovu mwili mzima.

Mtenda Unyama anaitwa Ms.Maige Ambaye hadi sasa yupo rumande.

Wanawake hebu acheni huo ukatili basi.

Credit:Taarifa ya habari ITV kama ilivyoripotiwa na J.SELEMU.
 
Ingekuwa bora zaidi kama wahusika kama hawa. Wangeweza kufungwa miaka hamsin. very painful
 
huyo mwajiri wake lazima atakuwa anakula nyama za watu,hizo alama za meno zinazoonekana mwilini mwa huyo binti ni za kutaka kutafuna nyama kabisa!!!
 
mgongo.gif

Yusta Lucas akionyesha makovu yake ya mgongoni ambayo aliyapata kwa kung'atwa na kuchomwa na pasi na mwajili wake. Picha na Esther Kabakaya
 
mgongo.gif

Yusta Lucas akionyesha makovu yake ya mgongoni ambayo aliyapata kwa kung'atwa na kuchomwa na pasi na mwajili wake. Picha na Esther Kabakaya

mkuu,, hau tu tag ma video,, these days
 
mgongo.gif

Yusta Lucas akionyesha makovu yake ya mgongoni ambayo aliyapata kwa kung'atwa na kuchomwa na pasi na mwajili wake. Picha na Esther Kabakaya

inasemekana hata mume wa huyo mama aliyefanya ukatili alimkimbia kwa sababu ya ubabe wake!
 
Huu ukatili kwa Wanawake wala sishangai, mwanamke anakuwekea sumu kwenye chakula alafu anakaa kuona unavyo ila huku akikwambia I love baby'
 
Wanawake mna roho mbaya sana,

Mama yako amekukosea nin kwa mfano?
Comments kama hizi huwa znavuruga mwelekeo wote wa thread!
Msiwe mnajumuisha wote,jadili Mada kwa busara!
Nimekutolea mfano mdogo tu wa mama yako mzazi amekufanyia roho mbaya ipi kiasi umuweke kundi moja na mwehu mmoja mweny mapepo yake ya na ulafi wa nyama za watu?
 
Nikusahihishe kidigo, katika mchango wangu hapo juu hakuna neno WOTE kama wewe ulivyochukulia,

Nimesema wanawake mna roho mbaya sana, nikimaanisha wengi wenu.

Huwezi sema mwehu mmoja, wakati haya matatizo kila kukicha yanatokea, mara mmetupa watoto, mara muweke watoto kwa box.

Tatizo nini you daughters of women?

Ukatili wote huu wa nini hasa?
 
Back
Top Bottom