UKATA: Lunch time Hotel ya Ubungo hostel yafungwa

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Nimepita hapo ubungo maeneo ya hostel ile hotel yetu maarufu ya lunch time..naona sasa imefungwa..na inanyewa na njiwa tu.

Zaidi naona chini kuna kijishule cha udereva....haha na bado...kufikia July tutajua Nani mzawa wa dar na Nani wa kuja!!mtarudi tu kwenye mikoa yenu..msio na nyumba mjini.

Hadi July tutajua Nani karudi mkoa na Nani kinga'anganizi.
 
Unajifanya wa Dar kumbe ndo walewale mhaya na dar wapi na wapi na wazaramo wasemaje?
 
Mtoa mada mbona umekuja na mipasho kibao?Ukumbuke yote maisha na huwezi jua plan za jamaa mpaka kafanya uamuzi wa kufunga hoteli..Inawezekana ameona penye fursa zaidi na ameenda kuwekeza huko na bahati mbaya hata humjui ili upate data kamili..yaani umeona hotel imefungwa tu basi umekurupuka kwenye tecno yako kuleta umbea..Dont judge haya ni maisha tu fala wewe!!
 
Amechapia ni landmark sasa amrzifanya hostel sijui kwanini amefanya hivyo na sidhani kama zina wateja inaonekana very expensive na kwa maisha mhmh
Nasema na kusisitiza ni LUNCH TIME NA SIO LANDMARK.. kaka tatizo lako hujasoma degree..ungekuwa ulisoma degree ungekuwa na mazoea ya kuja hostel ungeijua lunch time hotel.

Unabisha tuu..hata dar yenyewe huijui..upo matombo Morogoro huko eti na wewe unajifanya mzawa.
 
Sema angekaa/ kuishi mabibo hostel. Nadhani waliokuwa wakazi wa pale hostel wanaijua vizuri. Ukiwa mabibo hostel unavuka ng'ambo ya barabara tu.
 
Amechapia ni landmark sasa amrzifanya hostel sijui kwanini amefanya hivyo na sidhani kama zina wateja inaonekana very expensive na kwa maisha mhmh

Hotel ya Lunch time hipo barabarani kabisa katika kituo cha daladala cha Hostel ya Mabibo-External, ukiwa unashuka kutoka Hostel ya Mabibo kuja Barabara ya Mandela macho yako yatakuwa yanaiangalia Hotel ya Lunch time moja kwa moja
 
Mtoa mada mbona umekuja na mipasho kibao?Ukumbuke yote maisha na huwezi jua plan za jamaa mpaka kafanya uamuzi wa kufunga hoteli..Inawezekana ameona penye fursa zaidi na ameenda kuwekeza huko na bahati mbaya hata humjui ili upate data kamili..yaani umeona hotel imefungwa tu basi umekurupuka kwenye tecno yako kuleta umbea..Dont judge haya ni maisha tu fala wewe!!
Asante kaka ila ikitoshe tu..sijui hata tecno inafananaje.mi najua tecno ni toi za watoto.chief..wakati naenda kufanya masters UK..2010 bila Shaka ulikuwa unatoa funza miguuni kwenye nyandili..nikusaidie tu..Mimi mhaya msomi.mwenye hela za Kati.
 
Haya uliesoma degree naona huko kwenye promotion hongera
Nilikuina mjanja kumbe fala tu haya mambo ya kuelekezana unaleta ujuaji basi endelea kufurahia degree yako
 
Asante kaka ila ikitoshe tu..sijui hata tecno inafananaje.mi najua tecno ni toi za watoto.chief..wakati naenda kufanya masters UK..2010 bila Shaka ulikuwa unatoa funza miguuni kwenye nyandili..nikusaidie tu..Mimi mhaya msomi.mwenye hela za Kati.
Definitely you are an educated idiot!
 
Nimekupata kituko nilidhani landmark hotel ya pale riverside bahati mbaya me sio mwanafunzi mvaa mabango wa udsm, sasa Hutu alietoa huu uzi baada aelekeze vizuri
Naanza tatzo sijasoma degree naona yeye aliesoma yuko vizuri kufuatikia biashara za watu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom