Unaumwa wewe sio bure ulisikia wapi ukeketaji huko watu wastaarabu to ushamba wako wapi juzi ndo nyie mmeanza kutahiriwa yaani 2010 ndo mmeanza kuwa wastaarabu pwani tangu miaka ya 50 hukoNipo Tanga hapa ila ni wa kuja. Sasa kama nyie mmechagua mapenzi, kwanini mnawawekea vikwazo vya kichawi waliochagua maendeleo ya kiuchumi?!
Ukanda wa pwani unaongoza kwa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na ndoa za utotoni
Let kisa Cha kukeketwa tanga hayo mambo watu wala hawajafahamu tunayasikia mikoani