Ukanda wa CHADEMA upo wapi?

Ukanda wa CHADEMA upo wapi?

kweli ndugu,kila kitu huanzia sehemu,kumbuka alikotoka mwalimu jk watu wengi sana walikuwa wanajeshi.chadema ilianzishwa na watu ambao walitoka kanda hiyo na baada ya watu kujua nia njema ya chama,ndo maana chadema nw days haina ukanda wala nini,huyo kibalaka wao mwenyewe yupo kanda ipi?afadhali chadema ni kanda,ccm in familia flani hivi ndo zinajendaga chama,kuna watu wamepewa majimbo kwa makubaliono ya kuwashikia watoto wa vigogo ili wakufikia umri unaruhusu kugombea kusheri,wale wanaoshikiria inabidi waachie wenye nayo,then wasikilizie mkuu atamua nini,either u dc,rc au ubalozi,ukikosa vyote inabidi uwe kibaraka au tapel mielele.
 
Back
Top Bottom