Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Hivi ni kweli una kipara au walikuzushia kama unavyozusha hapaπŸ™πŸ™
 
Wanasiasa ni BIDHAA, they have got a price! Kuhama kwa excuse ya KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS, ni kichaka cha kuficha the real sababu. The very top priority ya awamu ya 5 ni kuua chama imara cha upinzani (CDM), hatutaki yajirudie yale ya 2015 ya ugumu wa uchaguzi ya kuambulia 50+.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chagueni wafia chama kama kina MWITTA au NGEDERE au yulee wa kino anaempenda MAGU sanaaaa
 
chagueni wafia chama kama kina MWITTA au NGEDERE au yulee wa kino anaempenda MAGU sanaaaa
Pole sana mkuu huwezi kuamini ukiambiwa mfia chama mkuu pia ana kadi ya chama dume!
 
Pole sana mkuu huwezi kuamini ukiambiwa mfia chama mkuu pia ana kadi ya chama dume!
hata mzee wa mihogo anayo aligoma kuitoa ameambulia ubalozi.. nunueni tu mkishamaliza mnunuane wenyewe
 
hata mzee wa mihogo anayo aligoma kuitoa ameambulia ubalozi.. nunueni tu mkishamaliza mnunuane wenyewe
Ndio ubaya wa kukaririshwa hamuwezi kuhoji udhaifu wa uongozi wala nini!
 
ndio ubaya wa kupenda hamuwezi kujiuliza huyu sizonje ni wawapi mbona anakowatumbukiza hampaoni
Kwa sisi waona mbali tunaona tupo kwenye safari na tutafika salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…