Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Cheyo ni mwenyekiti wa UDP tangu ianzishwe mpaka milele na wala watu hawakerwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ata mandela aliikomboa ZA lakin hajamaliza mihula 10 akaachia nchii na iimaendeleo iko mbali sana nafkiri ni ya 2 kama sio 3 africa mwenyekiti anaeza akapisha mwingine hujui mpya atakuja na mbinu gani kukalia kiti miaka yote huo ni uroho wa madaraka acha kutetea ujinga bhnaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro mapovu hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbowe anawatesa maccm yenu yamewashinda ya kusigina katiba yenu na kuwa chini ya one man mnakimbilia ya chadema mtapata tabu sana
Ha ha ha ,Hayo ndio mapovu yenyewe
 
Sukari imeshuka kutoka 5000 hadi 3000 na kila mmoja wetu anasukuma Noah ya rangi aipendayo....raha mpk tunanenepa hovyo hovyo!
 
Mbowe anawatesa maccm yenu yamewashinda ya kusigina katiba yenu na kuwa chini ya one man mnakimbilia ya chadema mtapata tabu sana
Ha ha ha ,Hayo ndio mapovu yenyewe
Bado unatema mapovu [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tunajua sababu ya chama kupoteza majimbo ni mapanga visual na marungu kutoka kwa wazuia uhalifu.kifo kikiwajilia mkiibe kama mnavyoiba kura.uchumi umeshuka huko ninyi hangaikeni na mbowe tu na mhutu wenu.
Wananchi wameshtukia utapeli wa kisiasa sasa wanataka maendeleo tu ndio maana wanachagua maendeleo toka ccm!
 
Kwani umesikia mwanaccm gani anamzungumzia mbowe isipokuwa wanachadema wenyewe!

Nyie mapimbi wa CCM ndiyo kutwa kucha mnajadili uenyekiti wa Mbowe, wapumbavu sana nia yenu muweke pandikizi ili muimalize Chadema, baada ya kushindwa sasa mnaitumia Mahakama kumfunga jela,wajinga sana nyie vibwengo.
 
ila Mbowe nikweli ni mwizi tukubali tu ukweli mbowe ni mwizi japo naipenda CDM lkn Mbowe ni mwizi kubalini ukweli Mbowe mwizi fedha nyingi sana za ruzuku hazijulikani nini zinafanya wanachadema wenzangu Mbowe mwizi
Akili za ccm ni zero kabisa. Hivyo ndivyo ulivyoweza kututhibitishia wizi wa Mbowe? Uandishi wenyewe wa kibashite sana! paragraph moja fupi tu lakini neno 'mwizi' limejirudia mara tano utadhani unajifunza kutunga shairi! Hiyo ni ishara ya kutokujua unachokisema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mapimbi wa CCM ndiyo kutwa kucha mnajadili uenyekiti wa Mbowe, wapumbavu sana nia yenu muweke pandikizi ili muimalize Chadema, baada ya kushindwa sasa mnaitumia Mahakama kumfunga jela,wajinga sana nyie vibwengo.
Jumatatu wahi mirembe nafikiri umewacha kumeza dawa!
 
Hivi kwa sasa tukiwa na debate ya general knowledge in East Africa Tz kweli vijana wetu wataongea nini .? Naona kama tunaporomoka kwa kasi. Hata University students wetu sasa no critical thinking,no questioning at all. Kilichobaki ni vyama. I was shocked a university student does not know why we fought for independence in 1961 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…