Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu ni elfu 15,000.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 7500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 30,000 .
Tanzania bei ya Sukari ni 1800-2000 na zaidi kidogo .Hela ya Tanzania.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?