Kwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya ni kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza zaidi ya shilingi bilioni moja kwa siku?