Ni exchange ya nchi ipi unayoniulizia?Exchange rate yako ni sh ngapi kwa mpaka dola moja kuwa 7500/ na dola mbili kuwa 15,000/? unapokuwa muongo uwe makini kukumbuka kuwa na sisi tunabadirisha fedha na hata taarifa za habari kila siku tunajulishwa exchange rate, kwa kwa bei ya sukari ya 1700-2000 inauzwa wapi hiyo kwani hata bei ya jumla hupati kwa bei hiyo?! Hapa nilipo sukari kilo moja ni tshs 3000/. Ukweli siku zote hukuweka huru.
Hata hivyo maisha ya Watanzania si MAGUMU kama mnavyoongeza chumvi.
Swali moja nakuuliza. Je jana kwenye SHEREHE ZA MEI MOSI wale wananchi WALIOMIMINIKA uwanjani wakiwa na NYUSO za TABASAMU.
Je walilipwa ili WAFURAHI?
Mtu mwenye maisha magumu hata kwenye SHEREHE HAHUDHURII maana anapambana na maisha.
Hebu tuache UONGO tuseme kweli. Moshi jana watu walikuwa na FURAHA SANA? Sijui utasema nini.