Ukali na tishio kutumia nguvu wanavyofanya Raisi Samia na Mchengerwa "kulinda" amani ya Tanzania ni vigumu sana mtu kuamini Tanzania ni nchi ya amani!

Narudia kwa Mod watu wote na Member wote wa JF Magu Fool ndo muasisi wa Ukatili huu wa bi Shungi na Mchengerwa Yani kama yeye ndo mama alitaga mayai yakaanguliwa vikazaliwa vifaranga navyo ni Samia na Mchengerwa ni Kinda linalokuzwa lije kuwa Sugu kama hayo mawili hapo juu Asante
 
Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu kiasi hicho kwa watu wanaoishi ndani ya nchi ya amani?

Ni wazi kama Tanzania ni nchi ya amani, na kuna tatizo au jambo limejitokeza, basi utatumia njia za amani kushughulikia mambo yanayoletwa mezani. Kwa nini utumie ukali na kutishia watu kwamba watakiona cha mtema kuni ikiwa unatambua kwamba hao watu ni sehemu ya nchi yenye amani?

Ni wazi basi ni nani hapa anaetaka kuondoa amani ambayo Watanzania tumeizoea sana nchini.

Katika nyumba yenye amani, ikitokea mtu mmoja analeta jambo, hata kama hulipendi au anatumia njia usizopenda kuliwakilisha, wewe mwenye kutambua thamani ya amani utashughulikia hilo jambo kwa amani, la sivyo wewe unaweza kuwa mbaya kuliko huyo mtu unaemtuhumu kuwa anatishia amani.

Mshengerema ni kati ya wanufaika wakuu wa pesa za ugaidi Zilizoua sana watu kule mkuranga na kwingineko .

Chadema hawama Makambi ya Ugaidi ,hofu ya hao watu wawili ni kukosa madaraka na maovu yao kuanikwa hadharani .

Hawana pa kukimbilia maana ipo siku uovu wao na Udini wao utawagharimu . Wakatumia Udini kuwagawa wa Tanganyika .

Leo kuna mpaka mikoapo na bima za kibaguzi kwa wafanya biashara kulingana na dini zao. Mikopo yenye riba ni kwa ajili ya wasio wa dini yao . Isiyo na riba kwa imani yao.

Wanatumia sheria ipi ya fedha kuwatwisha watu wa dini fulani mzigo wa riba na dini nyingine wao wanakopa bila riba . Huu ni ubaguzi na mbinu za kuwafurahisha wengine na kuwau,iza wengine katika nchi moja.
Hawa wakikosa madaraka ndio wanaunda vikundi vya kigaidi kushirikiana na wasomalia . Wanajifanya wanapenda amani wakati wanawaibia watanzania na kuwagawa kwa manufaa yao .

Watanganyika amkeni hawa watawaachia Taifa lililogawanyika na wao wataenda kuishi Dubai kwa wale waliowapa rasilimali za nchi hii.
 
Wanalinda amani ya wapi? Mtu na mkwe wake wanalinda huo Uraisi usiwaponyoke, waendelee kuuza mali za Tanganyika.

Kwa akili hata za kukopa, watu kwenda kusikiliza kesi, mtumie nguvu kubwa hivyo si ni ukichaa. Polisi wapo, nani ataenda kufanya vurugu? Watu wanaonyesha sapoti tu.

Wanafanya mambo ya kitoto sana, mtu mwenye akili zake, angewaacha wasikilize na hakuna kitu kingetokea. Wao ndiyo wanaleta tahayari na kuvunja amani.
 
WAISLAMU NA UONGOZI tofauti ya kinyesi na chakula ni nini?
 
Attachments

  • 1745744495097.jpg
    1745744495097.jpg
    325.5 KB · Views: 11
  • 03704a0a1464eafe5883e443f8e9f95d.mp4
    588 KB
Wanalinda amani ya wapi? Mtu na mkwe wake wanalinda huo Uraisi usiwaponyoke, waendelee kuuza mali za Tanganyika.

Kwa akili hata za kukopa, watu kwenda kusikiliza kesi, mtumie nguvu kubwa hivyo si ni ukichaa. Polisi wapo, nani ataenda kufanya vurugu? Watu wanaonyesha sapoti tu.

Wanafanya mambo ya kitoto sana, mtu mwenye akili zake, angewaacha wasikilize na hakuna kitu kingetokea. Wao ndiyo wanaleta tahayari na kuvunja amani.
Umeongea point sana, hapa sualala kulinda amani halipo, ni kutumiapolisi kulinda maslahi yao wenyewe.Kulinda amani ya Tanzania ni maneno ya propaganda tu tanatumia kama kisingizio
 
Hata ww siku yako ikifika utakufa tuu mkuu na watu watakula wali huku wanacheka
Vibaya sana na nitafurahi huko kaburini maana mikono yangu Haina damu hata mimba sijawahi shauri mwanamke atoe wala kumtoa mimba mtu kimsingi nimenyooka sio kama hao wanaosisitiza tusali lakini ni wauaji wakubwa na wengine walishakufa kwa hatia za wengine km hyo jpm
 
Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu kiasi hicho kwa watu wanaoishi ndani ya nchi ya amani?

Ni wazi kama Tanzania ni nchi ya amani, na kuna tatizo au jambo limejitokeza, basi utatumia njia za amani kushughulikia mambo yanayoletwa mezani. Kwa nini utumie ukali na kutishia watu kwamba watakiona cha mtema kuni ikiwa unatambua kwamba hao watu ni sehemu ya nchi yenye amani?

Ni wazi basi ni nani hapa anaetaka kuondoa amani ambayo Watanzania tumeizoea sana nchini.

Katika nyumba yenye amani, ikitokea mtu mmoja analeta jambo, hata kama hulipendi au anatumia njia usizopenda kuliwakilisha, wewe mwenye kutambua thamani ya amani utashughulikia hilo jambo kwa amani, la sivyo wewe unaweza kuwa mbaya kuliko huyo mtu unaemtuhumu kuwa anatishia amani.
Kuna mtu mjalaana alisema hivi ni vijivitabu tu

adriz Malaria 2 FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity
 
Attachments

  • Screenshot_20250427-151506.jpg
    Screenshot_20250427-151506.jpg
    133.9 KB · Views: 7
Mshengerema ni kati ya wanufaika wakuu wa pesa za ugaidi Zilizoua sana watu kule mkuranga na kwingineko .

Chadema hawama Makambi ya Ugaidi ,hofu ya hao watu wawili ni kukosa madaraka na maovu yao kuanikwa hadharani .

Hawana pa kukimbilia maana ipo siku uovu wao na Udini wao utawagharimu . Wakatumia Udini kuwagawa wa Tanganyika .

Leo kuna mpaka mikoapo na bima za kibaguzi kwa wafanya biashara kulingana na dini zao. Mikopo yenye riba ni kwa ajili ya wasio wa dini yao . Isiyo na riba kwa imani yao.

Wanatumia sheria ipi ya fedha kuwatwisha watu wa dini fulani mzigo wa riba na dini nyingine wao wanakopa bila riba . Huu ni ubaguzi na mbinu za kuwafurahisha wengine na kuwau,iza wengine katika nchi moja.
Hawa wakikosa madaraka ndio wanaunda vikundi vya kigaidi kushirikiana na wasomalia . Wanajifanya wanapenda amani wakati wanawaibia watanzania na kuwagawa kwa manufaa yao .

Watanganyika amkeni hawa watawaachia Taifa lililogawanyika na wao wataenda kuishi Dubai kwa wale waliowapa rasilimali za nchi hii.
Wazee wa DP Worieed na Waarabu wa Loliondo ila Kmmke kwa Rais ajaye labda asiwe kutoka Pwani Yani lazima ataharibu na kuvunja mikataba ya hovyo ya hyu Bibi yenu wa Unguja
 
Vibaya sana na nitafurahi huko kaburini maana mikono yangu Haina damu hata mimba sijawahi shauri mwanamke atoe wala kumtoa mimba mtu kimsingi nimenyooka sio kama hao wanaosisitiza tusali lakini ni wauaji wakubwa na wengine walishakufa kwa hatia za wengine km hyo jpm
Unasema hv kwakuwa ww n mwananchi wa kawaida mtaani tuu na huna fursa fulani kama hao viongozi wa juu, ila ungekuwa rais au level yoyote hapo juu usingesema haya.

Jiulize, hao Marais wote, je kuna rais gn amepita bila kusikia jambo baya?
Enzi za JK watu wamenyooshwa, JPM Ndo moto kabisa, mama nae anapiga kwenye mshono.
 
Nimewasikiliza Raisi Samia na waziri wake Mchengerwa wakiongea kuhusu "kulinda" amani ya Tanzania, kwa namna ya ukali na kuonyesha watatumia nguvu kubwa kuilinda hiyo "amani", kiasi kwamba najiuliza, kama Tanzania ni nchi ya amani, kwa nini muongee kwa ukali namna hii na kutoa vitisho vya ajabu kiasi hicho kwa watu wanaoishi ndani ya nchi ya amani?

Huko Mbeya Mchengerwa ameongea kama yeye ndio Raisi wa Tanzania, mabavu, na vitisho utafikiri yeye ndioanaamrisha majeshi ya Tanzania

Ni wazi kama Tanzania ni nchi ya amani, na kuna tatizo au jambo limejitokeza, basi utatumia njia za amani kushughulikia mambo yanayoletwa mezani. Kwa nini utumie ukali na kutishia watu kwamba watakiona cha mtema kuni ikiwa unatambua kwamba hao watu ni sehemu ya nchi yenye amani?

Ni wazi basi ni nani hapa anaetaka kuondoa amani ambayo Watanzania tumeizoea sana nchini. Iweze Raisi Samia katika nchi ya amani anawaambia JWTZ wajiandae na mapambano wakati wa uchaguzi? Tanzania nchi ya amani unawaambia JWTZ wakae tayari kwa ajili ya uchaguzi mkuu? Kupambana na nani, wananchi? JWTZ Vs WTZ?

Katika nyumba yenye amani, ikitokea mtu mmoja analeta jambo, hata kama hulipendi au anatumia njia usizopenda kuliwakilisha, wewe mwenye kutambua thamani ya amani utashughulikia hilo jambo kwa amani, la sivyo wewe unaweza kuwa mbaya kuliko huyo mtu unaemtuhumu kuwa anatishia amani.

Amani imeanza lini hapa nawakati tangu zamani tunafahamu ni uoga tu umetawala miongoni mwetu.
 
Kama huoni kosa kwa JWTZ unaonaje kosa kwa polisi wakati hao wote wanafuata amri ya boss wao?

Jeshi ni chombo cha kimataifa duniani kote . Jeshi kamwe hawaruhusiwi kuua raia popote na wakiua rais nchi inavamiwa kijeshi na Majeshi ya UN. Nchi inapoteza kabisa utaifa wake na kuwa kama Libya au Somalia .
Jeshi litatumia bunduki endapo kuna uasi ndani ya jeshi au kuna kikundi cha waasi chenye kutumia silaha kutaka kuangusha utawala . Lakini maandamano kamwe Jeshi halifyatui riasasi kuua watu badala yake wanakua upande wa wananchi na kulinda katiba ya nchi kwa kuiondoa serikali madarakani kwa sababu wananchi ndio wenye Mamlaka yote kikatiba na jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi na katiba ya nchi na mipaka ya nchi ni pamoja na wananchi wote sio WanaCCM peke yao kama wanavyodanganya polisi kuwa wapinzani hawana chao . Kikinuka vyama vyote vinawekwa pembeni na jeshi linachukua nchi .
Ndio maana Jeshi halina masihara na askari Jeshi amayejihusisha na siasa tofauti na polisi wanaingia na kuhamasisha nyimbo za chama cha mapinduzi kwenye vikao vyao vya ndani .

Jeshi likiegemea kwenye chama kimoja nchi inakua kwenye usalama mdogo sana dhidi ya uvamizi wa nchi jirani kwani kwa mfano leo Jeshi lijulikane kuwa lipo upande wa CCM na kuanza kuua wapinzani ndani ya nchi . Ni wazi kuwa ugaidi utashamiri na ujasusi toka nchi jirani utakua mkubwa sana na hata kuvamiwa itakua rahisi na nchi itakua kama Kongo .
Kwa mfano unawaua Wamasai wote kama Walivyotaka kufanya ili waarabu wachukue Ngorongoro . Ni wazi kuwa watakimbilia nchi jirani na watapata msaada na wataona ni bora kutawaliwa na Nchi jirani kama Somalia kuliko kutawaliwa kinyama na Zanzibar .
Matokeo yake ni mapambano yanayofadhiliwa na jirani kwa manufaa .

Nyerere alitaka kupinduliwa lakini hapakuwa na vyama vingi bali ni uasi wa ndani kwa ndani .

CCM wampe tahadhari sana Rais asitoe maelekezo kwa jeshi kwenye shughuli za kisiasa .

Haya ugaidi ule wa wakwe zake kule Mkuranga Jeshi lilisaidia tu lakini halikubena mandege na vifaru kwenda kuvamia ,kuranga ,amboni ,kilindi ,Ushirombo na kwingineko bali walisaidia kama shughuli za kipolisi tu . Huku walilinda wasije wakatumia nguvu kubwa ya kivita ikahatibu taswira ya jeshi kimataifa .

Mrisho Gambo aliyemnyanyasa Lema leo anatamani watanzania wawe nyuma yake lakini haiwezekani kwa sababu Mungu anamlipa aaliyoyafanya pamoja na kwamba ana hoja za kweli na ufisadi upo mkubwa ila unahusu wakubwa .
Kuna la kujifunza kwa kwa Mrisho gambo kuhusu madaraka na uonevu wa watu wasio na hatia . Makonda akiwa Mbunge atalipwa kwa kiwango hicho hicho maana MBUNGE hana amri juu ya vyombo vya dola na pia hana watumishi chini yake kama RC labda awe waziri .
 
Hakuna jeshi la UN
 
Mimi naonaga hawana nia Njema na sisi wananchi kwa nini utumie Nguvu kuongoza wananchi Kuna nini unaficha mpaka utumie nguvu kiukweli Tanzania inaitaji katiba Mpya Nguvu zote za Madaraka zirudishwe kwa Wananchi basi
 
Kuna sehemu ya uumizaji inafanywa na Polisi kwakuwa wametumwa,lakini sehemu kubwa ni yao wenyewe. Siolazima wafanye vile hata wakitumwa, kwa hiyo hawawezi kuepuka lawama
Na wakija kulinda maandamano, hapo wametumwa na nan
 
Waambiwe AMANI HAILINDWI, AMANI INAJILINDA.

Wape watu haki na maisha Bora automatically tu amani itakuwepo.
 
Mtu na Mama Mkwe wake wanatupiga changa la macho
 
Ifike mahala vyombo vya dola na taasisi za usalama ziache kupokea tu amri dhidi ya wananchi wanaopaswa kulindwa.

Vyombo vya usalama vianze kuchuja mambo na kutoa kuonya kwa wahusika juu ya amri wazitoazo.
 
Back
Top Bottom