Nitachangia hapo uliposema mfano wa tz wengi wanaona magufuli hafai kwa kuwa hawakuzoea mabadiliko,,,si kwamba wanaona hafai tu bali aina yake ya kuongoza ndiyo haifai, mf unaweza fanya jambo zuri lkn kwa njia haramu,wewe hufai,pia unaweza kuwa na malengo mazuri lkn njia ya kuyafikia huijui,wewe hufai, sasa kinachotokea tz ya magu ndicho hicho,huwezi puuza bunge halafu ukajisifia umefanya mema,kununua ndege ni jambo jema lkn njia aliyotumia ni haramu,anajenga reli ni vizuri lkn njia aliyotumia ni haramu,mwisho kiongozi bora anayejiamini hutumia bajeti halali iliyopitia bungeni kufanya mambo mema.tofauti na hivyo mi ubatili mtupuKwa muktadha wa sred yako, unadhani PhDs hazihitajiki? Kwamba ni kupoteza muda? Yumkini hufaham maana ya PhD.. na si vizuri kusemea usichokifaham..
Hakuna elimu kubwa na pana kama PhD.. kwa taarifa yako kama huna hiyo ngazi ya elimu, usije hata siku moja kujilinganisha na hiyo kitu.. acha kabisa..
Kuhusu kutenda au kutotenda kwa hizo PhDs.. kuna mambo mengi..
1. Nchi ya watu wajinga na pia wengi.. wazo la ngazi ya PhD halitapita kwa sababu watu wengi wako "in the box" na wanaogopa changes kwani hawajui ni nini hizo changes zitaleta.. mfano halisi.. watz wengi wanamuona kama Dr JPM hafai.. si kweli kwamba hafai, bali watu walishazoea kuishi kiujanja ujanja (box la ujanja ujanja na ubabaishaji), kwa hiyo mabadiliko mapya yameondoa uwezekano wa maisha ya kijanja janja. Mmoja wapo huenda ni mtoa mada maana hadi afikirie kuleta huu uzi, kuna pahala PhD ilipomkwaza.
2. Siasa mbovu
Saa nyingine mtu mwenye PhD anaona ili aishi bora aungane na watu wapuuzi puuzi.. as long as kula yake inatoka huko.. mtu kama huyu hatuwezi kumlaumu kwa sababu wapo pia wenye PhDs lakini hawaziamini. Mfano yule jamaa ambaye ni waziri anayeshghulikia mambo ya kina daimundo na kingwendu.. aliamua kujiunga na wajinga lilipoibuka swala la muungano.. hii huenda ilitokea baada ya kuona ugali wake unaingia hatarini..
3. Uchache wa PhDs na uhitaji wake
Tz siyo nchi ya viwanda, kwa hiyo siyo nchi ambayo inaongozwa kutokana na tafiti, ambazo hufanywa na hizi PhDs. PhDs zenyewe ni chache mno kiasi kwamba impact yake siyo kubwa kadri watu wanavyotarajia.. kwa uchache wake, vijana hawawezi kufundishwa kikamilifu, kwa hiyo ni vigumu kuwa na tija yenye kueleweka.
Kuna PhD feki pia, ambayo mwenye nayo hajitambui.. haelewi ni dhamana kiasi gani aliyo nayo kuhakikisha nchi yake inakuwa mahali salama pa kuishi na kifurahia
Sasa haonekani vp kama eneo tu halizidi km 20 tu,?maana yake hatoki ndani au wewe ndiye hutoki ndani hata dukani huendiMkuu - sio swali la kuishi mbali; Mimi niko Dar - Mbunge wetu yuko Dar (Kilomita chahe tu kutoka maeneo yetu); eneo lake lolote atakalotaka kutembelea halizidi hata kilomita ishirini (kokote kule atakako kwenda); lakini bado haonekani. Sio kama anaishi nje ya Mkoa - anaishi hapa hapa Mkoani; na bado haonekani.
Alikuwa na diploma ya kawaida ya ualimu wakati wa urais wakeHivi no kwa nini Mzee Mwinyi anawekwa katika kundi la wasio na degree? Alikuwa mwalimu tena wa chuo, bila degree?
Kama hamkujua ana Masters degree, degree zake nyingine ni kutoka vyuo vya kueleweka ughaibuni.
Kuna bwana mmoja alicopy PhD ya MTU ili tu naye aitwe Dr. Huyu bwana anaishi pale magogoni plot. No1. Ingawa amesema mwezi huu atahamia DodomaElimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.
Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs sio sifa namba moja.
Ni kama magadi tu lakini sio chumvi kwenye mboga tunayoita hapa kwa jina la 'uongozi'.
Uongozi unataka mtu mwenye busara, uvumilivu, subira, maono, hekima, msimamo thabiti na heshima kwa wale anaowaongoza. Vitu hivi si lazima uvipate darasani.
Daktari lazima asomee udaktari ili afanye kazi ya udaktari. Vivyo hivyo kwa mwalimu, mhasibu, lawyer, mhandisi nk.
Vilevile katibu mkuu wa wizara lazima awe graduate. Sawa.
Hata hivyo kusoma pekee na kujaza mavyeti hakumfanyi mtu kuwa waziri mzuri. Si lazima sana waziri kuwa na elimu ya juu sana kuwa waziri mzuri kwani yeye ni mwanasiasa tu na hategemewi kuingia 'jikoni'
Elimu pia haimfanyi mtu kuwa mbunge mzuri. Mara nyingine hekima na busara tu zinatosha katika uongozi wa siasa.
Hivi sasa umeingia 'ushamba' wa kudhani kuwa viongozi wenye PhD ndio hamira ya maendeleo nchini.
Historia ya karibuni inatuonesha kuwa kuna viongozi walifanya vizuri katika nafasi zao bila degree. Akiwa wizara ya mambo ya ndani, Mrema alifanya kazi nzuri na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka sasa. Hakuwa na shahada wala kishada. Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara na hekima kubwa bila kuwa na 'degree wala nini.
Elimu sio kila kitu. SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.
Msukuma wa Geita hana hiyo degree lakini bungeni anaongea vitu vya maana kuliko wabunge wengi wenye masters!!!
Sumaye hakuhitaji kuwa na degree kuvunja halimashauri ya jiji la Dar lillilokiwa likilalamikiwa kwa rushwa na u Uswahili katika miaka ya 2000. Alifanya kazi nzuri.
Tujiulize wabunge au mawaziri wenye degrees wamefanya nini cha maana ndani ya miaka mitatu ya utawala huu? Wame add value gani? Au wamezikimbia tu taaluma zao kufuata maslahi bungeni?
Mtu asipimwe based on elimu pekee. Heri mtu mwenye cheti halali cha darasa la pili kuliko aliyefoji cha kidato cha nne. Waende beyond vyeti. Kwa mfano haikuwa busara kuwatoa madereva wazoefu kazini eti kwa vile tu hawakuwa na chetu cha form 4.
Sioni mantiki ya kumwamini zaidi dereva mpya kwa vile tu amemaliza kipato cha nne ukamwacha mzoefu wa miaka 20!
Hii homa homa ya shahada na PhDs inahitaji vidonge. Shahada haikufanyi kuwa nesi mzuri zaidi kama huna wito na kazi hiyo.
Wala uprofesa haukufanyi kuwa waziri bora zaidi kuliko akina Mzee Kawawa kama sio mzalendo. Vyeti havifanyi kazi. Get out of the bottle!!! Happy "birthday" utawala wa Jiwe!!
Alitaka cheti cha kuzaliwa kabla watu hawajaoana. Mapenzi na vyeti vya kuzaliwa, wapi na wapi!!!!PhD nyingi za bongo ni feki. PhD kama ya Mwakyembe sidhani kama ni ya kweli. Maana anaongeaga vitu hata bibi kizee wa kikurya hawezi kuviongea.
Wewe mwenyewe unaonekana?Mkuu - sio swali la kuishi mbali; Mimi niko Dar - Mbunge wetu yuko Dar (Kilomita chahe tu kutoka maeneo yetu); eneo lake lolote atakalotaka kutembelea halizidi hata kilomita ishirini (kokote kule atakako kwenda); lakini bado haonekani. Sio kama anaishi nje ya Mkoa - anaishi hapa hapa Mkoani; na bado haonekani.
Mkuu Nsimbi waajiri au Watu wengine Wanaamini sana PhD,Wengine Ni Ugonjwa,yaani Ni kuaminisha juu ya Jambo Fulani,Wengine Wanafikiri Lazima uwe na PhD ili Ufanane nao Au kuhalalisha Jambo Fikra Fulani mioyoni mwao,Wengine ni Prestige's yaani Ufahari,Yaani kuwa miongoni mwa,Wengine hawana sababu basi ili Watu wajue labda na Yeye ni Msomi,Wengine wanaamini PhD ni Waadilifu na Wachapakazi nk no!Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.
Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs sio sifa namba moja.
Ni kama magadi tu lakini sio chumvi kwenye mboga tunayoita hapa kwa jina la 'uongozi'.
Uongozi unataka mtu mwenye busara, uvumilivu, subira, maono, hekima, msimamo thabiti na heshima kwa wale anaowaongoza. Vitu hivi si lazima uvipate darasani.
Daktari lazima asomee udaktari ili afanye kazi ya udaktari. Vivyo hivyo kwa mwalimu, mhasibu, lawyer, mhandisi nk.
Vilevile katibu mkuu wa wizara lazima awe graduate. Sawa.
Hata hivyo kusoma pekee na kujaza mavyeti hakumfanyi mtu kuwa waziri mzuri. Si lazima sana waziri kuwa na elimu ya juu sana kuwa waziri mzuri kwani yeye ni mwanasiasa tu na hategemewi kuingia 'jikoni'
Elimu pia haimfanyi mtu kuwa mbunge mzuri. Mara nyingine hekima na busara tu zinatosha katika uongozi wa siasa.
Hivi sasa umeingia 'ushamba' wa kudhani kuwa viongozi wenye PhD ndio hamira ya maendeleo nchini.
Historia ya karibuni inatuonesha kuwa kuna viongozi walifanya vizuri katika nafasi zao bila degree. Akiwa wizara ya mambo ya ndani, Mrema alifanya kazi nzuri na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka sasa. Hakuwa na shahada wala kishada. Mzee Mwinyi aliongoza nchi kwa busara na hekima kubwa bila kuwa na 'degree wala nini.
Elimu sio kila kitu. SUGU wa Mbeya mjini hana shahada ya chuo kikuu lakini ndio mbunge bora na anayependwa na wapigakura wake kuliko wote nchini.
Msukuma wa Geita hana hiyo degree lakini bungeni anaongea vitu vya maana kuliko wabunge wengi wenye masters!!!
Sumaye hakuhitaji kuwa na degree kuvunja halimashauri ya jiji la Dar lillilokiwa likilalamikiwa kwa rushwa na u Uswahili katika miaka ya 2000. Alifanya kazi nzuri.
Tujiulize wabunge au mawaziri wenye degrees wamefanya nini cha maana ndani ya miaka mitatu ya utawala huu? Wame add value gani? Au wamezikimbia tu taaluma zao kufuata maslahi bungeni?
Mtu asipimwe based on elimu pekee. Heri mtu mwenye cheti halali cha darasa la pili kuliko aliyefoji cha kidato cha nne. Waende beyond vyeti. Kwa mfano haikuwa busara kuwatoa madereva wazoefu kazini eti kwa vile tu hawakuwa na chetu cha form 4.
Sioni mantiki ya kumwamini zaidi dereva mpya kwa vile tu amemaliza kipato cha nne ukamwacha mzoefu wa miaka 20!
Hii homa homa ya shahada na PhDs inahitaji vidonge. Shahada haikufanyi kuwa nesi mzuri zaidi kama huna wito na kazi hiyo.
Wala uprofesa haukufanyi kuwa waziri bora zaidi kuliko akina Mzee Kawawa kama sio mzalendo. Vyeti havifanyi kazi. Get out of the bottle!!! Happy "birthday" utawala wa Jiwe!!
Sawa - sisi tunasubiri tu 2020 - tutatoa majibu. Kama Raisi ndio anatakiwa aje kwenye vitongoji vyetu - sisi hatuna tatizo - tutatoa majibu 2020.We
Wewe mwenyewe unaonekana?
Mbona hueleweki! Sema hapatikani ofisini kwake. Lakini yupo.
Rais JPM ulimwona lini mtaani kwako? Lakini yupo.
Hata mjumbe usipomfuata sio ajabu hutamwoma mpaka uchaguzi ujao. Lakini yupo.
Mtu una PhD unashawishiwa ba pole pole mpaka unahama chama. Hiyo ni PhD. Of all the people pole pole anakutongoza mpaka unabadili mawazo.
Compare professor Lumumba wa Kenya na BW. Mwakyembe waziri wa mchezo mchezo wote wamesoma sheria. Tofauti yao ni kama masika na kiangazi. Mmoja huyu wetu amejitoa ufahamu wakati Lumumba anajiongezaKama mtu ana hekima na kipaji cha kuongea + PHD anaifanya hii dunia pawe mahali pazuri pa kuishi . Wale wasiokuwa na elimu ya kutosha lakini wana hekima wangeongezea na elimu nzuri ya darasani mambo yangekuwa mazuri zaidi . Angalia profesa Lumumba wa Kenya angepewa urais ingekuaje ? Anachambua mambo kisomi na humdanganyi kitu .
Hapo no 1 kuhusu JPM natofautia na wewe.....hoja zenye evidence zilizo fanyiwa utafiti ndiyo msingi. Magufuli hakutakiwa kuwa mtu wa kuzima hoja kwa risasi!.Kwa muktadha wa sred yako, unadhani PhDs hazihitajiki? Kwamba ni kupoteza muda? Yumkini hufaham maana ya PhD.. na si vizuri kusemea usichokifaham..
Hakuna elimu kubwa na pana kama PhD.. kwa taarifa yako kama huna hiyo ngazi ya elimu, usije hata siku moja kujilinganisha na hiyo kitu.. acha kabisa..
Kuhusu kutenda au kutotenda kwa hizo PhDs.. kuna mambo mengi..
1. Nchi ya watu wajinga na pia wengi.. wazo la ngazi ya PhD halitapita kwa sababu watu wengi wako "in the box" na wanaogopa changes kwani hawajui ni nini hizo changes zitaleta.. mfano halisi.. watz wengi wanamuona kama Dr JPM hafai.. si kweli kwamba hafai, bali watu walishazoea kuishi kiujanja ujanja (box la ujanja ujanja na ubabaishaji), kwa hiyo mabadiliko mapya yameondoa uwezekano wa maisha ya kijanja janja. Mmoja wapo huenda ni mtoa mada maana hadi afikirie kuleta huu uzi, kuna pahala PhD ilipomkwaza.
2. Siasa mbovu
Saa nyingine mtu mwenye PhD anaona ili aishi bora aungane na watu wapuuzi puuzi.. as long as kula yake inatoka huko.. mtu kama huyu hatuwezi kumlaumu kwa sababu wapo pia wenye PhDs lakini hawaziamini. Mfano yule jamaa ambaye ni waziri anayeshghulikia mambo ya kina daimundo na kingwendu.. aliamua kujiunga na wajinga lilipoibuka swala la muungano.. hii huenda ilitokea baada ya kuona ugali wake unaingia hatarini..
3. Uchache wa PhDs na uhitaji wake
Tz siyo nchi ya viwanda, kwa hiyo siyo nchi ambayo inaongozwa kutokana na tafiti, ambazo hufanywa na hizi PhDs. PhDs zenyewe ni chache mno kiasi kwamba impact yake siyo kubwa kadri watu wanavyotarajia.. kwa uchache wake, vijana hawawezi kufundishwa kikamilifu, kwa hiyo ni vigumu kuwa na tija yenye kueleweka.
Kuna PhD feki pia, ambayo mwenye nayo hajitambui.. haelewi ni dhamana kiasi gani aliyo nayo kuhakikisha nchi yake inakuwa mahali salama pa kuishi na kifurahia
Umenikumbusha roho nyingi zilizopotea kwa ajali kwenye magari ya umma yaliyokuwa yakiendeshwa na madereva wenye vyeti. Wengi walikuwa ni familia changa wamewaacha waume kwa wake na watoto wadogo; ni vilio na majonzi kwa familia nyingi.Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana.