- Thread starter
- #81
Mkuu Kagame amebadili Katiba ili aendelee kuwa kiongozi......anafuata nyayo za Mugabe na Museveni.....huoni kama ni indicator za dictatorship?
Mbowe naye ni dikteta? If my memory serves me well, naye alibadili katiba ya chama. Je ni indicator ile ile? Na hata hivyo hiyo sio pretext ya ku kwepa call kutoka Rwanda if any.