Acha kufundisha watu uoga...Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Yaani wewe jamaa unaamini kuwa ushirikina una nguvu sana kiasi cha kumfanya Zitto awe kama alivyo?Moderator unaondoa threads zangu,
Zitto ni mzigo kwa,sisi tunaomjua anaishi kwa ushirikina,hana uwezo wa kushindana na dola na haitakuja tokea,hilo msahau
Acha kufundisha watu uoga...
Hivi CCM mna akili gani?Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Tuliyopewa na Mungu. Kamuulize aliyetupa kwanini alitupa.Hivi CCM mna akili gani?
Zitto kamtukana nani?Kama kutii sheria na kanuni na norms ni uoga, basi ushujaa utakuwa ni kutukana.
Mimi ninadhani Lowassa alienda Ukawa na wafuasi wengi tu kutoka CCM, sio lazima wawe prominent!Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.