Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Hapo Msamvu mpaka wameweka mc kabisa kutangaza biashara nyakati za usiku.."anakuambia tatu mpaka tatu, bidhaa zote zinapatikana" ..Mchana kuna hotel hutumiwa na wasafiri kula na inamilikiwa na Shabiby..usiku ndio hutumiwa na makahaba kwa shughuli kwenye eneo la wazi kule nyuma ambapo hupanga maboksi kwa mstari wakipata wateja..
 
Na kuna nite club msavu opposite na makuti lodge,pana kahaba za kutosha.
 
Mkuu naona unapaelewa kweli kweli kule nyuma unapo sema ni hatari unapita unamkuta mtu kainamishwa
 
Mkuu amini nakwambia ukifika pale msamvu kuanzia saa 5 usiku omba husiwe na familia ukapita sehemu zile ni aibu tupu
Ukiona hivyo ujue wateja wa hiyo commodity wapo na hivyo ndiyo maana inashamiri au ulitaka iweje?
 
Hatari sana, usalama wako bize kwenye walafi wa pesa, wakimaliza huko watakuja
 
Ukiona hivyo ujue wateja wa hiyo commodity wapo na hivyo ndiyo maana inashamiri au ulitaka iweje?
Hii biashara itakapoanzishwa wateja itapata tu, maana wenye mahitaji ni wengi, kuna mpaka wale wenye stress na wake zao hutumbukia humo humo, cha kufanya ni kuwambia wahusika tu ambao ni vyombo vya usalama
 
Mkuu fanyia editing badala ya kanisa weka linalo husika
 
Onyo: Marufuku kusafiri na nyege zako kuja Dar Es Salaam, ,,,
 
Hii biashara itakapoanzishwa wateja itapata tu, maana wenye mahitaji ni wengi, kuna mpaka wale wenye stress na wake zao hutumbukia humo humo, cha kufanya ni kuwambia wahusika tu ambao ni vyombo vya usalama
Serikali inge ipitisha hii biashara tu maana kuendelea kujifanya inapiga vita wakati ndio kwanza inazidi kushamili siyo busara
 
Mkuu naona unapaelewa kweli kweli kule nyuma unapo sema ni hatari unapita unamkuta mtu kainamishwa
Ni mahali hatarishi sana tena.. Kuna wanaochukua ushuru kabisa hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…